Radio Tadio

Kilimo

11 October 2023, 14:34 pm

Zao la mwani Mtwara ladoda, wakulima walilia soko

Zao la mwani limekuwa zao jipya katika mkoa wa Mtwara ambapo wanawake wanaoishi kata ya Msangamkuu wamechangamkia fursa hiyo ya kilimo cha mwani na sasa hawana soko la kuuza zao hilo. Na Musa Mtepa Wakulima wa zao la mwani wa…

10 October 2023, 11:03 pm

Serikali kuwapa wakulima mbinu mpya za kilimo Zanzibar

Wakulima Zanzibar wametakiwa kulima kilimo cha kisasa ili waendane na mapinduzi makubwa ya kilimo ulimwenguni ili waweze kujikomboa kupitia kilimo kwa kujihakikishia kupata chakula cha uhakika. Na Fatma Rashid Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mh. Othamn Masoud Othmani…

9 October 2023, 9:27 am

Vijana watakiwa kutambua umuhimu wa sekta ya kilimo

Taasisi ya kuboresha Mifumo ya Masoko ya Kilimo Tanzania AMDT Leo imewakutanisha Wadau mbalimbali kutoka sekta ya Umma, wawakilishi kutoka mashirika mbalimbali na vijana katika Mdahalo wa kuibua changamoto zinazowakabili vijana ili kupata majibu sahihi. Na Mariam Kasawa. Vijana wametakiwa…

30 September 2023, 19:30

Vyama vya ushirika mwarobaini wa masoko kwa wakulima

Na Isaya Kigodi/Mafinga Ili kuendana na mahitaji ya soko, Wakulima wilayani Mufindi wametakiwa kujiunga na vyama vya ushirika jambo ambalo litawarahisishia kulifikia soko. Hayo yamesemwa na Afisa ushirika Halmashauri ya wilaya ya Mufindi Bi. Pili Mwaipaja wakati akizungumza na Mufindi…

27 September 2023, 6:21 pm

Zanzibar kuwa kivutio cha kijani na utalii endelevu

Kilimo ni miongoni mwa uti wa mgongo wa taifa ambacho kinatuingizia kipato pamoja na chakula kwa mahitaji yetu ya kila siku hivo ni jukumu letu kuhakikisha tunaendeza kilimo ili kuweza kujikwamua na hali ya maisha. Na mwandishi wetu Rais wa…

22 September 2023, 9:37 am

Wilaya ya Bunda yakamilisha kuunda jukwaa wakulima wadogo

Imeelezwa kuwa wilaya ya Bunda mkoani Mara, wamekamilisha uundaji wa jukwaa la wakulima wadogo lenye wadau mbalimbali akiwa ni pamoja na wakulima wenyewe. Na Thomas Masalu Imeelezwa kuwa wilaya ya Bunda mkoa wa Mara, wamekamilisha uundaji wa jukwaa la wakulima…

21 September 2023, 17:19

Wakulima Mufindi kunufaika na kipima udongo

Wataalam kutoka shirika la Care na WWF Alliance pamoja na wakulima wilayani Mufindi wakiwa katika moja ya shamba darasa. Picha na Care. Na Jumanne Bulali Kifaa cha kupimia udongo kinatarajiwa kuwa na tija kwa wakulima wengi wilayani Mufindi kwani wataweza…