Radio Tadio

Kilimo

2 Julai 2025, 16:01

BoT yataka wakulimu kutohifadhi fedha ndani

Benki Kuu ya Tanzania imeendelea kutoa elimu na kuhamasisha wananchi kuzingatia matumizi na utunzaji bora wa fedha. Na Mwandishi wetu Uvinza Wakulima Mkoani Kigoma wametakiwa kuachana na utamaduni wa kuhifadhi fedha ndani na badala yake kutumia huduma za kibenki ili…

26 Juni 2025, 16:12

Jamii imeaswa kutowaficha watoto wenye ulemavu

Ulemavu ni hali ya kuwa na hitilafu ya kudumu mwilini au akilini, inayomzuia mtu kutekeleza shughuli fulani katika maisha yake tofauti na watu wengine lakini watu wenye ulemavu wakiwekewa mazingira rafiki kulingana na hitilafu zao wanaweza kutimiza majukumu yao kama…

24 Juni 2025, 15:52

Wahitimu VETA Kasulu watakiwa kuwa wabunifu

Serikali na wadau wa maendeleo wameendelea kuwahimiza vijana kuwa wabunifu ili waweze kujiajiri kupitia bunifu mbalimbali. Na Hagai Ruyagila Wahitimu wa mafunzo ya ushonaji wa vazi maalumu la kulinia asali na teknolojia ya umeme jua katika chuo cha Veta Kasulu…

8 Juni 2025, 9:08 um

Ngorongoro waaswa kuepuka matumizi ya plastiki

Mifuko na chupa za plastiki ni uchafu ulio hatari zaidi kwa mazingira hasa zikitumika na kutupwa ovyo hususani kwa wilaya ya Ngorongoro inaweza kuleta madhara makubwa kwa mifugo na wanyama endapo wataila na kuimeza. Na Zacharia James Wananchi wilayani Ngorongoro…

28 Mei 2025, 12:18

Zaidi ya vyandarua milioni 1.7 kusambazwa Kigoma

Serikali imesema itaendelea kushirikiana na wadau mbalimbali wa afya katika kukabiliana na ugonjwa wa Malaria ambao umekuwa ukisumbumbua katika mataifa mbalimbali kusini mwa jangwa la Sahara. Na Josephine Kiravu Zaidi ya vyandarau million 1.7 vyenye thamani ya zaidi ya shilingi…

27 Mei 2025, 11:19 mu

Sangamwalugesha yaomba kujengewa soko la kisasa

“Uchumi wetu unajengwa na wajasiliamali wadogo wadogo hivyo tuna kila sababu kwa mamlaka husika kuwatengenezea mazingira mazuri ya wao kufanya biashara ikiwemo miundombinu ya masoko pamoja na kuangalia tozo ambazo hazina afya kwa wafanyabiashara”. Na, Daniel Manyanga Kukosekana kwa soko…

19 Mei 2025, 4:22 um

Wafanyabiashara wakerwa na taka zitokanazo na karanga

‘uchafu huo unaotokana na viwanda hivyo zinawasababisha wao kupata mafua ya mara kwa mara na kuharibu biashara zao‘ Na Samwel Mbugi-Katavi Baadhi ya wafanyabiashara wa soko la jioni linalofanyika eneo la kata ya Mpanda hotel manispaa ya Mpanda mkoa wa…