Recent posts
28 May 2026, 6:22 am
Mke amuuwa mme kwa kumchoma sindano yenye sumu
Inadaiwa kuwa Shizya alichomwa sindano inayodhaniwa kuwa na sumu begani upande wa kushoto, kisha baadaye kuchomwa kisu tumboni upande wa kulia na mke wake, ambaye alitoroka mara baada ya tukio hilo. Na Denis Sinkonde,Mbozi Mamia ya wakazi wa kijiji cha…
26 May 2026, 4:10 pm
Utapeli kwa njia ya WhatsApp yawaibua Takukuru Songwe
Baadhi ya vikundi hivyo hukusanya fedha kutoka kwa wanachama lakini baadaye hugeuka chanzo cha migogoro. Na Denis Sinkonde,Songwe Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Songwe imetangaza mkakati maalum wa kudhibiti utapeli na wizi wa kidijiti unaofanyika…
19 May 2026, 11:34 am
Wananchi wamkataa mwenyekiti wa kijiji waibua tuhuma nzito
Kutokana na tuhuma hizo za mwenyekiti wa kijiji imepelekea wananchi kuishi maisha ya hofu wakiogopa kufanyiwa vitendo viouvu katika shughuli zao za utafutaji Na Denis Sinkonde, Wanakijiji wa kijiji cha Shitunguru, kata ya Nambinzo, Wilaya ya Mbozi wameonesha kutoridhishwa na…
27 November 2025, 6:22 pm
Diwani CCM afariki kwa kunywa maji ya betri
kwa mujibu wa mkuu wa wilaya ya Mbozi Hamad Mbega inadaiwa diwani huyo alifanya maamuzi ya kunywa maji ya betri kutokana na msongo wa mawazo. Na Denis Sinkonde,Mbozi Aliyekuwa diwani mteule wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Shiwinga, Wilaya…
19 November 2025, 12:40 pm
Takukuru yapiga stop wenyeviti vijiji, vitongoji kumiliki mihuri
Na Denis Sinkonde,Songwe Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Wilaya ya Songwe imewataka Wenyeviti wa Vitongoji na Vijiji kuacha mara moja tabia ya kumiliki mihuri ya Serikali, ikisema kuwa hatua hiyo ni kinyume cha sheria na imekuwa ikichochea…
19 November 2025, 12:26 pm
Ileje wajipanga kukabiliana na udumavu
Na Denis Sinkonde, Ileje Mkuu wa Wilaya ya Ileje, Farida Mgomi, ametoa wito kwa kina baba kushiriki kikamilifu katika masuala ya lishe ili kuhakikisha familia zinakuwa na afya bora na kupunguza udumavu kwa watoto. Mgomi ametoa wito huo umetolewa Novemba…
9 November 2025, 9:12 pm
COP30 kusaidia matumizi ya nishati safi mkoani Songwe
Na Denis Sinkonde, Karibu kusikiliza kipindi maalumu cha matumizi ya nishati safi kutoka Ileje FM kuelekea mkutano wa Cop 30 utakaofanyika nchini Brazili kuanzia Novemba 10 hadi 21 mwaka huu 2025
15 October 2025, 9:44 am
Wakulima wapewa mbinu bora za uzalishaji kahawa Songwe
Na Anord Kimbulu, Songwe Katika kuhakikisha kuwa zao la kahawa aina ya Arabika kutoka Nyanda za juu Kusini linaendelea kufanya vizuri kwenye soko la kimataifa, wakulima wa kahawa wilayani Mbozi mkoani Songwe, wameanza kunufaika na mafunzo ya kitaalamu pamoja na…
1 October 2025, 8:52 am
Mwenge kukagua miradi 43 yenye thamani ya Sh 20.5 bilioni Songwe
Na Ester Simbeye, Songwe Jumla ya miradi 43 ya maendeleo yenye thamani ya Sh 20.5 bilioni inatarajiwa kuzinduliwa, kutembelewa, kukaguliwa na kuweka mawe ya msingi na mbio za mwenge wa uhuru Mkoani Songwe kwa mwaka 2025. Mkuu wa Mkoa wa…
30 September 2025, 8:08 am
Kamishna Jeshi la Zimamoto Tanzania atoa cheti cha pongezi Ileje FM
Na Denis Sinkonde,Ileje Kamishina Jenerali wa Jeshi la Zimamoto Tanzania CGF John William Masunga amekabidhi cheti cha pongezi kwa redio ya jamii Ileje FM iliyopo wilaya ya Ileje Mkoa wa Songwe kwa utoaji elimu kwa umma kuhusu majanga ya moto…