Recent posts
October 22, 2023, 7:40 am
Wananchi Ileje wajitolea kujenga nyumba ya mtoa huduma wa afya
Na Denis Sinkonde, Ileje Wananchi wa kijiji cha Izuba kata ya Isongole wilaya ya Ileje mkoa wa Songwe wanatarajia kumaliza ujenzi wa vyumba ya wahudumu wa zahanati ya Izuba ili kuwaondolea adha wahudumu wa zahanati hiyo kuishi mbali. Hayo yamebainishwa…
October 11, 2023, 4:55 pm
Viongozi wasiotatua changamoto za wananchi wajitathimini-DC Ileje
Na Denis Sinkonde, Songwe Viongozi wa kata na vijiji wilayani Ileje mkoa wa Songwe wametakiwa kutofanya kazi kwa mazoea pasipo kuwashirikisha wananchi kupanga vipaumbele vya miradi ya maendeleo kwenye vijiji. Hayo yamebainishwa Oktoba 10, mwaka huu na mkuu wa wilaya…
October 11, 2023, 4:24 pm
Dc Ileje awapiga marufuku vijana kufanya mapenzi na wazee wao
Na Denis Sinkonde, Songwe Mkuu wa wilaya ya Ileje mkoa wa Songwe Farida Mgomi amewapiga marufuku wanawake watu wazima kujihusisha na mapenzi na vijana wa kiume wenye umri mdogo. Mgomi amesema hayo wakati wa mkutano wa kijiji Oktoba 10 mwaka…
October 7, 2023, 7:37 am
Dc Ileje awapongeza wananchi wa Itale kulinda Misitu
Na Denis Sinkonde, Ileje Mkuu wa Wilaya ya Ileje Mkoa wa Songwe Farida Mgomi amewapongeza wananchi wa Kijiji cha Itale Kata ya Itale wilayani humo Kwa kufuata sheria na kanuni za kulinda utunzaji wa mazingira hususani Msitu wa Itale na…
October 4, 2023, 7:15 am
Mliovamia hifadhi hekta 600 za hifadhi ondokeni haraka Dc Ileje
Na, Denis Sinkonde, Ileje Wananchi vijiji vya Ndapwa kata Ngulilo wilaya ya Ileje mkoa wa Songwe na Kijiji Cha Kiobo wilaya ya Rungwe mkoa wa Mbeya wametakiwa kuondoka na kuacha na uvamizi kwenye hifadhi ya msitu Kihosa uliopo Kijiji Cha…
October 3, 2023, 6:01 am
DC Ileje aagiza machifu wapewe ushirikiano
Na Denis Sinkonde Mkuu wa wilaya ya Ileje mkoani Songwe Mhe.Farida Mgomi amewaagiza viongozi wa serikali wilayani humo kutoa ushirikiano na machifu kukemea matukio ya uvunjifu wa amani na uharibifu wa mazingira. Mgomi amesema hayo Oktoba 2,2023 ikiwa ni siku…
September 21, 2023, 7:02 am
Barabara km 52.414 kulimwa kwa kiwango cha lami Ileje Samia apongezwa
Na Denis Sinkonde Askofu wa kanisa la Moraviani jimbo la Kusini Kenani Panja kwa niaba ya wananchi wa Kijiji cha Ibungu Kata ya Bupigu ametoa shukrani kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia_Suluhu Hassan pamoja na Viongozi…
September 16, 2023, 10:00 am
Waandishi wa habari Ileje Fm wanolewa umuhimu matumizi ya kidigitali
Na Denis Sinkonde Waandishi wa habari kutoka kituo Cha Ileje FM wamenolewa namna bora ya uandishi wa habari za mitandao kwa kuzingatia miiko ya kihabari ili kuchochea mabadiliko kwenye jamii. Wito huo umetolewa Septemba 16 ,2023 na mkufunzi kutoka mtandao…
September 15, 2023, 11:33 am
Serikali yatoa shilingi bilioni 5 ujenzi wa barabara km 5 Ileje
Na Denis sinkonde Mkandarasi aliyesaini mkataba wa ujenzi wa barabara ya lami yenye urefu wa Km 5 yenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 5 Kiwila- Landani wilayani Ileje mkoani Songwe kumaliza kwa mradi kwa wakati. Mkuu wa wilaya ya…
September 15, 2023, 10:36 am
DC Ileje awakabidhi baiskeli wanufaika 25 mradi wa IRDO
Na Sikudhani Minga Mkuu wa wilaya ya Ileje Farida Mgomi amekabidhi zaidi ya baiskeli 25 kwa wananchi wa wilaya ya Ileje ambao ni wanufaika kutoka shirika lisilo la Kiserikali la Integrated Rural Development Organization (IRDO) ambalo limejikita katika kutatua changamoto mbalimbali…