Ileje FM

CWT Songwe yawanyima sare walimu siku ya Mei Mosi

May 3, 2024, 7:28 am

Na Denis Sinkonde,Songwe

Zaidi ya walimu 5000 wa Chama cha Walimu (CWT) Mkoa wa Songwe wamelalamikia uongozi wa chama hicho taifa kushindwa kuwanunulia sare kwa ajili ya maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) ambayo mkoani Songwe yamefanyika wilayani Ileje

Wakizungumza na Ileje Fm  baadhi ya walimu wamedai kuwa wamekosa furaha baada ya kutokuwa na sare ukilinganisha na vyama vingine.

Sauti za walimu wanachama wa CWT…………………

Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Daniel Chongolo amesema jambo hilo halikubaliki, hivyo anawajibika kufatilia ili wahusika wawajibishwe.

Sauti ya mkuu wa mkoa wa Songwe…………………………..