Ileje FM

Bilioni 5.7 kutatua miundombinu ya barabara iliyoharibiwa na mvua Songwe

May 7, 2024, 6:22 am

Sehemu ya ukarabati wa daraja lililoharibiwa na mvua wilayani Songwe mkoani Songwe(picha na Denis Sinkonde)

Na Denis Sinkonde,Songwe

Mkuu wa mkoa wa Songwe, Daniel Chongolo ameipongeza timu ya wataalamu wa Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) kwa kasi ya kurejesha miundombinu ya barabara iliyoharibiw ana mvua zinazoendelea kunyesha mkoani humo.

Chongolo ameeleza kuwa changamoto ya uharibifu mkubwa wa miundombinu umefanyiwa kazi kwa haraka na timu ya wataalamu wa TANROADS na TARURA jambo ambalo limerejesha mawasiliano ya pande zote zilizokuwa hazipitiki.

Sauti ya mkuu wa mkoa Daniel Chongolo………..

Kwa upande wake meneja wa wakala wa barabara Tanroad Mhandisi Suleimani Bishanga amesema

Sauti ya wakala wa Tanroad Mkoa wa Songwe Suleiman Bishanga…………………

Nao baadhi ya wananchi wa maeneo mbalimbali wametoa maoni yao namna miundombinu hiyo ilivyorejeshwa.

Sauti ya mwananchi……………………