Ileje FM

Serikali yatoa shilingi bilioni 5 ujenzi wa barabara km 5 Ileje

September 15, 2023, 11:33 am

Mkuu wa wilaya ya Ileje Farida Mgomi akimkabidhi mkandarasi hati ya kuanza ujenzi wa barabara (picha na Denis Sinkonde)

Na Denis sinkonde

Mkandarasi aliyesaini mkataba wa ujenzi wa barabara ya lami yenye urefu wa Km 5 yenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 5  Kiwila- Landani wilayani Ileje mkoani Songwe kumaliza kwa mradi kwa wakati.

Mkuu wa wilaya ya Ileje Farida Mgomi ametoa maelekezo hayo kwa kandarasi wa kamapuni ya ARI ambaye alikabidhiwa  mradi kwa ajili ya kuanza kutekeleza ndani ya siku saba zijazo.

Sauti ya mkuu wa wilaya ya Ileje Farida Mgomi.

Mwenyekiti wa halmashauri ya Ileje Ubatizo Songa amesema kukamilika kwa barabara hiyo kutasaidia kuongezeka kwa uzalishaji wa makaa yam awe.

Sauti ya mwenyekiti wa halmasahuri ubatizo Songa

Msimamizi wa mradi wa barabara hiyo kutoka wakala wa barabara ya mjini na vijijini TARURA makao makuu amesema.

sauti ya msimamizi makao makuu

Nao wananchi wa kijiji cha Kapeta katika kata ya Ikinga walikuwa na haya ya kuzungumza.

Sauti ya wananchi Kapeta