Recent posts
November 27, 2025, 6:22 pm
Diwani CCM afariki kwa kunywa maji ya betri
kwa mujibu wa mkuu wa wilaya ya Mbozi Hamad Mbega inadaiwa diwani huyo alifanya maamuzi ya kunywa maji ya betri kutokana na msongo wa mawazo. Na Denis Sinkonde,Mbozi Aliyekuwa diwani mteule wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Shiwinga, Wilaya…
November 19, 2025, 12:40 pm
Takukuru yapiga stop wenyeviti vijiji, vitongoji kumiliki mihuri
Na Denis Sinkonde,Songwe Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Wilaya ya Songwe imewataka Wenyeviti wa Vitongoji na Vijiji kuacha mara moja tabia ya kumiliki mihuri ya Serikali, ikisema kuwa hatua hiyo ni kinyume cha sheria na imekuwa ikichochea…
November 19, 2025, 12:26 pm
Ileje wajipanga kukabiliana na udumavu
Na Denis Sinkonde, Ileje Mkuu wa Wilaya ya Ileje, Farida Mgomi, ametoa wito kwa kina baba kushiriki kikamilifu katika masuala ya lishe ili kuhakikisha familia zinakuwa na afya bora na kupunguza udumavu kwa watoto. Mgomi ametoa wito huo umetolewa Novemba…
November 9, 2025, 9:12 pm
COP30 kusaidia matumizi ya nishati safi mkoani Songwe
Na Denis Sinkonde, Karibu kusikiliza kipindi maalumu cha matumizi ya nishati safi kutoka Ileje FM kuelekea mkutano wa Cop 30 utakaofanyika nchini Brazili kuanzia Novemba 10 hadi 21 mwaka huu 2025
October 15, 2025, 9:44 am
Wakulima wapewa mbinu bora za uzalishaji kahawa Songwe
Na Anord Kimbulu, Songwe Katika kuhakikisha kuwa zao la kahawa aina ya Arabika kutoka Nyanda za juu Kusini linaendelea kufanya vizuri kwenye soko la kimataifa, wakulima wa kahawa wilayani Mbozi mkoani Songwe, wameanza kunufaika na mafunzo ya kitaalamu pamoja na…
October 1, 2025, 8:52 am
Mwenge kukagua miradi 43 yenye thamani ya Sh 20.5 bilioni Songwe
Na Ester Simbeye, Songwe Jumla ya miradi 43 ya maendeleo yenye thamani ya Sh 20.5 bilioni inatarajiwa kuzinduliwa, kutembelewa, kukaguliwa na kuweka mawe ya msingi na mbio za mwenge wa uhuru Mkoani Songwe kwa mwaka 2025. Mkuu wa Mkoa wa…
September 30, 2025, 8:08 am
Kamishna Jeshi la Zimamoto Tanzania atoa cheti cha pongezi Ileje FM
Na Denis Sinkonde,Ileje Kamishina Jenerali wa Jeshi la Zimamoto Tanzania CGF John William Masunga amekabidhi cheti cha pongezi kwa redio ya jamii Ileje FM iliyopo wilaya ya Ileje Mkoa wa Songwe kwa utoaji elimu kwa umma kuhusu majanga ya moto…
September 26, 2025, 7:32 am
TRA Songwe yaanzisha dawati maalum la uwezeshaji biasahara
Na Denis Sinkonde Songwe.Wafanyabiasahara na wananchi Mkoani Songwe wameaswa kuacha vitendo vya kukwepa ulipaji kodi kupitia Mamlaka ya Mapato mkoani humo(TRA) huku wakikumbushwa kuwa kodi ni muhimu kwa maendeleo ya taifa na wananchi. Wito huo umetolewa na Mkuu wa Mkoa…
September 18, 2025, 6:34 am
RC Songwe aridhishwa na ujenzi daraja la Msangano
Na Denis Sinkonde,Songwe Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Jabiri Omari Makame amepongeza maendeleo ya ujenzi wa Daraja la Msangano Chindi, daraja kubwa linalojengwa na Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) kwa gharama ya takribani shilingi bilioni 2.99. Daraja…
September 18, 2025, 6:20 am
Auwawa kisa ushabiki wa Simba na Yanga Songwe
Na Denis Sinkonde,Songwe Jeshi la Polisi mkoani Songwe linamtafuta Evacery Mwaweza mkazi wa Kitongoji cha Ululu kiijiji cha Idiwili kata ya Idiwili wilayani Mbozi mkoani Songwe kwa tuhuma za kusababisha kifo cha Zabroni Mwambogolo (28) mkazi wa kitongoji hicho wakati…