11 September 2023, 12:46

Wananchi Mufindi wapewa elimu umiliki ardhi

Afisa mipango miji mkuu kutoka Wizara ya Ardhi Fabian Mtaka akizungumza na wananchi wa kijiji cha Idetero kata ya Mbalamaziwa wilayani Mufindi.Na Bestina Nyangaro Kuwa na hatimiliki za ardhi kutasaidia kupunguza migogoro ya ardhi Na Bestina Nyangaro-Mufindi Idara ya Ardhi…

On air
Play internet radio

Recent posts

3 September 2024, 13:46

Ahukumiwa miaka 30 jela kwa kumbaka binti wa miaka 13

Na Beatrice Kaitaba Mufindi Mahakama ya Wilaya ya Mufindi imemhukumu kifungo cha miaka 30 jela Frank Ignas Kahise mwenye umri wa miaka 20 baada ya kupatikana na hatia kwa kosa la ubakaji kwa binti mwenye umri wa miaka 13. Kesi…

3 September 2024, 09:33

Ulaji nyama ya mbuzi hatari kwa afya-Utafiti

Vinasaba vya nyama ya mbuzi vinatajwa kuwa mojawapo ya kichocheo cha ugonjwa wa maumivu ya magoti. Na Attu Lufyagile MUFINDI Wananchi na wakazi wa wilaya ya Mufindi mkoani Iringa wameshauriwa kupunguza matumizi ya nyama ya mbuzi kwani husababisha ugonjwa wa…

3 September 2024, 08:07

Rais Dkt. Mwinyi ateta na Rais Widodo wa Indonesia

Na mwandishi wetu Bali Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi leo tarehe 2 Septemba 2024 jijini Bali, Indonesia amefanya mazungumzo na Rais wa nchi hiyo, Mhe. Joko Widodo kuhusu masuala mbalimbali ya…

18 July 2024, 17:22

Mapilya: Utafiti wa udumavu Iringa urudiwe

Na Jackson Machowa Kutokana na ongezeko la ufaulu wa wanafunzi mashuleni, Idara ya Elimu Sekondari Wilaya ya Mufindi imeiomba serikali na watafiti nchini kufanya mapitio ya hali ya udumavu wilayani hapa kwa kuwa inakinzana na hali halisi ya maendeleo ya…

17 July 2024, 16:26

Mashine ya kuchakata zaidi ya mazao 9 yawafikia wakulima Mufindi

Na Marko Msafili Mufindi Taasisi ya utafti wa mazao ya Kitropiki (CIAT), IMARA TECH, Taasisi ya utafti wa Kilimo (TARI), Taasisi ya ngano na Mahindi kwa kushirikiana na Taasisi ya kilimo masoko pamoja na Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi wamefanya…

16 July 2024, 21:11

Wanaotegemea maji mto Ruaha wakumbukwa

MAFINGA. Na Bestina Nyangaro Takribani wananchi wapatao 3,200 wa kijiji cha Itimbo kata ya Rungemba halmashauri ya mji Mafinga wanatarajia kuondokana na adha ya kutembea umbali mrefu kupata huduma ya maji ifikapo disemba mwaka huu 2024, ambapo mradi wa maji…

9 July 2024, 09:02

Mradi wa Maji wenye thamani ya Sh. Bil 48.6 Unasusua Mafinga

Na Bestina Nyangaro Mafinga WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano muungano wa Tanzania mh. Kassim Majaliwa amemuagiza waziri wa maji Juma Aweso, kukutana na mkandarasi wa mradi wa maji wa miji 28 Mafinga, na kusimamia mradi huo ili ukamilike haraka,…