Radio Tadio

Kilimo

12 September 2023, 11:42 am

Serikali yaombwa kuwawezesha wakulima elimu na pembejeo za kilimo

Wakulima katika maeneo mbalimbali wamekuwa wakisistiza kwa jamii kuwapatia mikopo ya kilimo ili waweze kunufaika na kilimo chenye tija. Na Khadija. Imeelezwa kuwa ili kusaidia wakulima waweze kulima kilimo chenye tija serikali inao wajibu wa kuwawezesha wakulima hao katika suala…

September 12, 2023, 10:29 am

wakulima wahimizwa kuhuisha taarifa zao kwenye daftari la wakulima

kulingana na serikali kutoa ruzuku ya pembejeo wakulima wametakiwa kuendelea kuhuisha taarifa zao kwenye daftari kwa wakati ili kuepuka usumbufu wa kupata pembejeo na mwandishi wetu Wakulima Wilayani Makete Mkoani Njombe wametakiwa kwenda kwenye Ofisi za Vijiji ili kuhuisha taarifa…

11 September 2023, 8:27 am

Wakulima waaswa kuchukua mbolea mapema

MPANDAWakulima halmashauri ya Mpanda mkoani Katavi wameshauriwa kuchukua mbolea mapema ili kuepukana na changamoto ambazo zilitokea katika msimu wa kilimo uliopita. Afisa kilimo Manispaa ya Mpanda Gwalusajo Kapande amesema kuwa zoezi la ununuzi wa mbolea limeanza Septemba 1, 2023 hivyo…

8 September 2023, 12:06 pm

Vijana wahimizwa kujikita katika kilimo cha kitalu nyumba

Juhudi za kuendelea kuwahimiza vijana kujiingiza kwenye kilimo zinaendelea, kwani kilimo ndio uti wa mgongo wa taifa, huku Kijani Consult wakija na njia mbadala kwa vijana wa Geita kutumia kilimo chenye mwanga mdogo wajua ili mazao kustawi vizuri. Na Zubeda…

6 September 2023, 10:15 am

Mrindoko Aahidi Malipo ya Tumbaku

KATAVI Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko amewahakikishia malipo zaidi ya Dola Milioni 2.5 wakulima wa zao la Tumbaku katika msimu wa kilimo 2022/2023 wa Amcos 6 zilizoingia Mkataba wa ununuzi wa Tumbaku na Kampuni ya Mkwawa Leaf LTD.…

2 September 2023, 2:13 pm

Geita DC na mkakati wa kuongeza uzalishaji mpunga

Kutokana na mabadiliko ya tabianchi wakulima wilayani Geita wameishauri serikali kuboresha kilimo cha umwagiliaji ili kukabiliana na changamoto ya upungufu wa chakula. Na Mrisho Sadick: Kuboreshwa kwa miundombinu ya kilimo katika halmashauri ya wilaya ya Geita itasaidia kuongeza uzalishaji wa…