Radio Tadio

Kilimo

7 August 2023, 10:25 am

SMZ yapandisha bei ya karafuu Zanzibar

Karafuu ni zao kuu la biashara Zanzibar na sasa bei ya zao hilo imeongezwa ili kukuza kipato cha wakulima visiwani humo. Na Idara ya Habari Maelezo Zanzibar Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imepandisha bei ya karafuu kutoka shilingi 14,000 hadi…

1 August 2023, 10:45 pm

TAKUKURU Geita yaokoa zaidi ya shilingi milioni 11

Wakulima wa pamba wamelalamikia kutapeliwa pesa zao za mauzo, hali iliyopelekea TAKUKURU kuingilia kati. Na Kale Chongela- Geita Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU mkoa wa Geita imefanikiwa kuokoa zaidi ya Shilingi Milioni 11 zilizokuwa zimetapeliwa na viongozi…

31 July 2023, 5:34 pm

NIRC kujenga mabwawa 100 nchi nzima

Hatua hiyo itafanya kuwa na  mabwawa 114 ambayo yatawasaidia wakulima kuwa na Kilimo Cha uhakika. Na Seleman Kodima. Tume ya Taifa ya Umwagiliaji NIRC imewahakikishia wananchi kuwa hakuna mradi wowote umesimama kwa sababu ya fedha bali zipo hatua ambazo lazima…

28 July 2023, 4:21 pm

Wahitimu BBT kwenda JKT mafunzo ya uzalendo

Mnamo Tarehe 23 Februari, 2023 serikali kupitia Wizara ya Kilimo ilitangaza awamu ya kwanza ya majina 812 ya vijana waliochaguliwa kujiunga katika programu ya Building Better Tomorrow: Youth Initiative in Agribusiness (BBT-YIA). Serikali kupitia programu hii itawawezesha vijana kushiriki kilimo…

26 July 2023, 5:42 pm

Serikali yatakiwa kuhamasisha vijana kujikita katika kilimo

Kartika kupunguza changamoto ya ajira na ugumu wa maisha kwa vijana nchini serikali imeendelea kusisitiza juu ya suala la kilimo biashara kwa kuanzisha programu mbalimbali kwa lengo la kuwawwezesha kujikwamua kiuchumi ikiwa ni katika kuanzisha mashamba ya kilimo pamoja na…

25 July 2023, 5:01 pm

Nini siri ya kilimo cha mpunga wilayani Bahi?

Wakulima wa eneo hilo wanadai kuwa hawapendelei kutumia mbolea katika kilimo cha mpunga. Na Yussuph Hassan. Licha ya watu wengi kuamini kuwa mkoa wa Dodoma ni eneo kame lakini eneo hili linafaa pia kwa kilimo. Wakazi wa wialaya ya Bahi…

24 July 2023, 5:27 pm

Historia kuanzishwa mashamba ya mpunga wilayani Bahi

Je, kipi kilichangia msukumo wa kuanzishwa kwa mashamba ya mpunga wilayani Bahi? Na Yussuph Hassan Tunaendelea kuitazama historia ya wilaya ya Bahi iliyopo mkoani Dodoma na leo tunaangalia historia ya kuanzishwa kwa mashamba ya mpunga wilayani humo.

24 July 2023, 10:09 am

Uelewa bado mdogo Katavi mradi wa BBT

KATAVI. Wananchi na wakulima mkoani Katavi wameonesha kutokuwa na uelewa wowote kuhusiana na mradi wa serikali unaoratibiwa na Wizara ya Kilimo, mradi wa jenga leo kesho iliyo bora maarufu kama (BBT). Wakizungumza na Mpanda Redio FM wameeleza kuwa ni vema…