Kilimo
July 3, 2023, 12:17 pm
Upungufu wa chakula: Wananchi watakiwa kuhifadhi mazao ya chakula
Wananchi wa halmashauri ya Ushetu wilayani Kahama mkoani Shinyanga wameaswa kuhifadhi mazao katika msimu huu ili kuepuka uhaba wa chakula. Na Sebastian Mnakaya Wananchi wa halmashauri ya Ushetu wilayani Kahama mkoani Shinyanga wametakiwa kuhifadhi mazao ya chakula kutokana na upungufu…
1 July 2023, 6:32 pm
Kampuni za tumbaku zatakiwa kuwalipa wakulima kwa wakati
Serikali imetakiwa kuhakikisha kampuni zinazonunua tumbaku za wakulima wanalipwa kwa wakati. Rai hiyo imetolewa na mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Tabora na mjumbe wa kamati kuu ya halmashauri kuu ya CCM Taifa Hassan Wakasuvi. Akitolea ufafanuzi wa…
28 June 2023, 14:50 pm
Pembejeo za ruzuku zawafikia wakulima Mtwara
Mchakato wa ugawaji wa pembejeo ya ruzuku kwa wakulima wa zao la korosho umeanza kuwafikia wakulima katika maeneo mbalimbali nchini. Akizungumzia mchakato huo Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Korosho Tanzania Ndugu Francies Alfred amesema kuwa kwa miaka miwili iliyopita ugawaji…
27 June 2023, 7:37 pm
AMDT yawakutanisha wabunge wa Lindi, Mtwara kujadili zao la alizeti
Taasisi ya kuboresha Mifumo ya Masoko ya Kilimo Tanzania katika kuinua sekta ya kilimo nchini, imeamua kuanza na mikoa ya Lindi na Mtwara kulifanya zao la alizeti kuwa zao la kimkakati katika mikoa hiyo. Na Mindi Joseph. Zao la alizeti…
27 June 2023, 4:38 pm
Kilimo cha umwagiliaji chachu uhakika wa chakula
Mwema ametumia nafasi hiyo kuwahamasisha wananchi kujiingiza kwenye kilimo cha umwagiliaji ili kusaidia upatikanaji wa chakula kwa wingi na kwa uhakika. Na Bernadetha Mwakilabi. Mwakilishi wa shirika la chakula duniani (WFP) nchini Tanzania Bi Sarah Gordon- Gibson amesema kuwa kilimo…
25 June 2023, 5:28 pm
Wakulima Lumuma wanufaika elimu uhifadhi vitunguu kidijitali kupitia mradi wa AO…
Wakulima wa vitunguu kushindwa kunufaika na kilimo cha vitunguu kunatokana na kukosa ujuzi wa kuhifadhi mazao hivyo huwalazimu kuyauza kipindi ambacho mazao mengi yanakua sokoni. Unapotumia njia ya kidigitali ya uhifadhi wa vitunguu utakusaidia kuwa usalama wa mazao yako na…
21 June 2023, 4:10 pm
Wakulima washauriwa kutumia mbolea ya mboji kuzalisha mazao yenye ubora
Katika kuhakikisha thamani ya mazao yanayolimwa wilayani Kilosa inaongezeka sokoni ni wajibu kwa wakulima kutumia mbolea za mboji na kuzalisha mazao yasiyo na kemikali za mbolea ya viwandani ambayo mazao hayo yanauzwa kwa gharama kubwa katika masoko ya nje. “Acheni…
21 June 2023, 3:47 pm
Wakulima wa alizeti Bahi walalamika kuporomoka kwa bei
Wakulima hao wanasema wanalazimika kuuza alizeti kwa bei ndogo ili waweze kupata fedha za kujikimu . Na Bernad Magawa. Wakulima wa zao la alizeti wilayani Bahi wamelalamikia kuporomoka kwa bei ya zao hilo ambalo limejipatia umaarufu hivi karibuni na kuwa…
June 21, 2023, 7:58 am
Maadhimisho Siku ya Mkulima yafanyika Makete
Mkurugenzi wa TARI MLINGANO Tanga DKT. Catherine Senkoro akiwa na Mwandishi wa Kitulo FM kwenye shamba la Mfano la Ngano Kigala
June 21, 2023, 7:44 am
Kilimo cha ngano kuwa mkombozi kwa wakulima Makete
Halmashauri ya Wilaya ya Makete kwa kushirikiana na Tume ya Taifa ya Mipago ya Matumizi ya Ardhi imezindua Mkakati wa kupanga, kupima Ardhi na kutoa Hati za Hatimiliki za Kimila kwa wakulima wa Ngano.