Radio Tadio

Kilimo

24 July 2023, 5:27 pm

Historia kuanzishwa mashamba ya mpunga wilayani Bahi

Je, kipi kilichangia msukumo wa kuanzishwa kwa mashamba ya mpunga wilayani Bahi? Na Yussuph Hassan Tunaendelea kuitazama historia ya wilaya ya Bahi iliyopo mkoani Dodoma na leo tunaangalia historia ya kuanzishwa kwa mashamba ya mpunga wilayani humo.

24 July 2023, 10:09 am

Uelewa bado mdogo Katavi mradi wa BBT

KATAVI. Wananchi na wakulima mkoani Katavi wameonesha kutokuwa na uelewa wowote kuhusiana na mradi wa serikali unaoratibiwa na Wizara ya Kilimo, mradi wa jenga leo kesho iliyo bora maarufu kama (BBT). Wakizungumza na Mpanda Redio FM wameeleza kuwa ni vema…

21 July 2023, 5:25 pm

Historia ya kilimo cha mpunga wilayani Bahi

Msimuliaji wetu anaendelea kutufahamisha kuanzishwa kwa mashamba haya na lini yalianzishwa. Na Yussuph Hassan. Tunaendelea kuangazia  historia ya wilaya ya Bahi na leo tutafahamu historia ya mashamba ya mpinga katika wilaya hii.

13 July 2023, 9:59 am

Wakulima Chato kunufaika na kilimo cha umwagiliaji

Kutokana na mabadiliko ya tabianchi kusababisha kupungua kwa mvua wilayani Chato mkoani Geita, serikali imekuja na njia mbadala ya kilimo cha umwagiliaji ili kuwakomboa wakulima. Na Mrisho Sadick: Serikali imepanga kuboresha mifumo ya umwagiliaji kwa wakulima wanaoishi pembezoni mwa Ziwa…

12 July 2023, 1:41 pm

Wananchi Bahi watakiwa kutunza chakula

Mara nyingi jamii imekuwa ikishauriwa kuhifadhi sehemu ya mavuno ya mazao ili kusaidia upatikanaji wa chakula cha kutosha katika familia na kuepusha hali ya kuanza kuwa tegemezi kutokana na kuuzwa kwa mazao yote. Na Mindi Joseph. Wakulima Kata zote Wilayani…

10 July 2023, 16:20 pm

Wananchi mikoa ya kusini kunufaika na mikopo ya kilimo

Wananchi wa mikoa ya kusini Lindi, Mtwara na Ruvuma wametakiwa kuchangamkia fursa ya uwepo wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania  (TADB) Kanda ya Kusini  katika kupata uelewa na utaratibu wa kupata mikopo ili  kupata vifaa vya kisasa  vitakavyowezesha kuleta…

6 July 2023, 4:05 pm

Vijana 300 kunufaika na mradi wa kilimo Bahi

Vijana wametakiwa kuimarisha vikundi vyao kwani tayari vimesajiliwa na vinatambulika kisheria. Na.  Bernad Magawa Vijana  300 wilayani Bahi watanufaika na mradi wa kilimo kwanza unaowashirikisha vijana kutekeleza shughuli za kilimo kupitia Mashamba Darasa ili kusaidia jamii kuwa na uhakika wa…