Radio Tadio

Kilimo

21 June 2023, 3:47 pm

Wakulima wa alizeti Bahi walalamika kuporomoka kwa bei

Wakulima hao wanasema wanalazimika kuuza alizeti kwa bei ndogo ili waweze kupata fedha za kujikimu . Na Bernad Magawa. Wakulima wa zao la alizeti wilayani Bahi wamelalamikia kuporomoka kwa bei ya zao hilo ambalo limejipatia umaarufu hivi karibuni na kuwa…

9 June 2023, 12:00 pm

Kikundi cha vijana Mundemu kunufaika na kilimo cha nyanya

Kikundi hicho kimepokea mkopo wa shilingi milioni nane kutoka halmashauri ya wilaya ya Bahi. Na Bernad Magawa. Kikundi cha kilimo tija cha vijana kijiji cha Mundemu kata ya Mundemu wilayani Bahi kinatarajia kunufaika na kilimo cha nyanya kupitia kilimo cha…

9 June 2023, 8:38 am

Udhibiti sumukuvu kukuza mnyororo wa thamani katika biashara

Kupitia mafunzo hayo washiriki wameweza kufahamu maana ya sumukuvu na madhara yake kwa afya ya binadamu. Na Bernadetha Mwakilabi. Wadau mbalimbali wa kilimo cha karanga na mahindi katika kata ya Mtanana wilayani Kongwa wamepatiwa mafunzo juu ya udhibiti wa sumukuvu…

6 June 2023, 5:02 pm

Wakulima wa zabibu walalamikia uhaba wa soko la uhakika

Na Mindi Joseph. Wakulima wa zao la zabibu kijiji cha Makag’wa mkoani Dodoma wamesema ukosefu wa soko la uhakika ikiwemo idadi ndogo ya viwanda vya kusindika zabibu kumechangia kurudisha nyuma maendeleo ya wakulima wa zao hilo. Wakulima hao wameeleza hayo…

2 June 2023, 7:06 pm

Dodoma: Mashine za kuvuna karanga zawakosha wakulima

Karanga ni mojawapo ya mazao yanayotoa mafuta na zao hili hustawi zaidi katika mikoa ya Kusini Mashariki, Dodoma na Morogoro. Na Mindi Joseph. Wakulima wa zao la karanga mkoani Dodoma wamepongeza uwepo wa teknolijia ya mashine za kuvuna karanga. Mashine…