Radio Tadio

Kilimo

5 September 2022, 10:51 am

Kizungumkuti Viwatilifu Vya Korosho

Wananchi wa kijiji cha Isinde kata ya Mtapenda Halimashauri ya Nsimbo Mkoani Katavi wamelalamikia kutopewa viwatilifu  kwaajili ya zao la korosho  licha ya kuwa wakulima wa zao hilo zaidi ya miaka mitano. Wakizungumza na kituo hiki wakulima hao wamesema kuwa …

5 May 2022, 2:00 pm

Wananchi watakiwa kutambua umuhimu wa Mbaazi

Na; Leonard Mwacha. Wananchi mkoani Dodoma wametakiwa kutambua umuhimu wa zao la mbaazi kuwa lina manufaa makubwa katika matumizi mbalimbali pamoja na biashara. Wito huo umetolewa na, Mkurugenzi wa  wa asasi siyokuwa ya serikali SEIDA Bw. Fredrick Ogenga, kupitia warsha…

1 November 2021, 2:04 pm

Wiki ya AZAKI 2021

Wiki ya AZAKi 2021 ilianza tarehe 23 hadi 28 Oktoba katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre mjini Dodoma. Tukio hili ni moja ya mikusanyiko mikubwa ya Asasi za Kiraia nchini Tanzania. Tukio hili linalenga kuwaleta pamoja wanachama wakuu wa…

21 May 2021, 15:05 pm

Nyumba yateketea kwa moto

Na Karim Faida Wananchi wa mtaa wa Mmingano kata ya Tandika Manispaa ya Mtwara Mikindani mkoani hapa wameguswa na tukio la moto lililotokea Mapema Asubuhi ya leo ambapo nyumba ya Ndugu Sefu Bahili imeungua yote na hakuna kilichookolewa. Akiongea na…

19 May 2021, 1:26 pm

Wanawake waaswa kutokukata tamaa mitazamo hasi

Na; James Justine Jamii imetakiwa kutokuwa na mitazamo hasi kwa mambo mbalimbali wanayoyafanya wanawake katika kujiletea maendeleo na Taifa kwa ujumla. Akizungumza na Taswira ya habari mkurugenzi wa kikundi cha akinamama kinachojihusisha na kuwainua wanawake jijini Dodoma (WOMEN OF POWER) …

24 March 2021, 12:06 pm

Rais Magufuli aliutambua mchango wa wanawake katika uongozi

Na; Mariam Matundu. Viongozi wanawake jijini Dodoma wamesema watamkumbuka daima hayati Dkt.John Magufuli kwa kuwa aliwaamini wanawake na kuwapa nafasi mbali mbali za uongozi katika kipindi cha uongozi wake. Akizungumza na taswira ya habari mmoja wa madiwani wanawake Kata ya…