Radio Tadio

Kilimo

19 December 2022, 8:35 am

Bahi watakiwa kulima mazao yanayo stahimili ukame

Na; Benard Filbert. Wakulima wa kata ya Bahi wilaya ya Bahi mkoani  Dodoma wameshauriwa kupanda mazao ambayo yanahitaji mvua kidogo ili kukabiliana na  mabadiliko ya hali ya hewa. Ushauri huo umetolewa na Diwani wa Kata hiyo  Agustino Mdunuu wakati akizungumza…

16 December 2022, 12:16 pm

Mbolea ya ruzuku kilio kwa baadhi ya wakulima

RUNGWE- MBEYA NA JUDITH MWAKIBIBI Kutokana na kukosekana kwa mbolea ya ruzuku kwa baadhi ya maeneo Wilaya Rungwe Mkoani Mbeya wakulima wametakiwa kuwa na subira wakati serikali ikiendelea kulishughulikia suala hilo. Hayo yamebainishwa na afisa kilimo wilayani hapa Bw Juma…

16 November 2022, 12:28 pm

Zaidi ya billioni 474 zinatumika kuagiza mafuta nje ya Nchi

Na; Mariam Matundu. Imeelezwa kuwa iwapo mkakati wa kukuza na kuongeza uzalishaji katika zao la alizeti ukifanikiwa,serikali itafanikiwa kuokoa fedha nyingi ambazo zinatumika kuagiza mafuta ya kula nje ya Nchi . Akizungumza katika mahojiano maalumu na Dodoma fm naibu waziri…

27 October 2022, 10:21 am

Wakulima Kongwa watakiwa kulima kilimo chenye tija

Na; Benard Filbert. Wakulima  wilaya ya Kongwa wamehimizwa kutumia teknolojia ya kisasa yakuvuna maji na kutunza udongo ili kufanya kilimo chenye tija. Hayo yameelezwa na mkuu wa idara ya kilimo na mifugo wilaya ya Kongwa Bw. wakati akizungumza na taswira…

20 October 2022, 11:59 am

Bilioni 27 zatarajiwa kutumika ujenzi wa bwawa Chunyu

Na;Mindi Joseph. Bilioni 27 zinatarajiwa kutumika katika ujenzi wa bwawa la umwagiliaji katika kijiji cha chunyu wilayani mpwawa ili kutatua changamoto ya uzalishaji hafifu wa Chakula. Hivi karibuni wanachi wa kijiji hicho wameelezea kuwa ukosefu wa Bwawa na Skimu za…

18 October 2022, 6:55 am

Uhaba wa skimu za umwagiliaji watajwa kuchangia maisha duni

Na;Mindi Joseph . Ukosefu wa Skimu za umwagiliaji katika baadhi ya maeneo Mkoani Dodoma umetajwa kuchangia Maisha Duni kwa wananchi kutokana na uzalishaji hafifu wa Chakula. Taswira ya Habari imezungumza na Baadhi ya wanachi wa Kijiji cha Chunyu Wilayani mpwapwa…