Radio Tadio

Wanawake

8 November 2023, 5:22 pm

Fawe yawafikia wajasiriamali Kusini Unguja

Mafunzo hayo ni utekelezaji wa mradi wa kuwawezesha wanawake kiuchumi unaoendeshwa na FAWE ndani ya mkoa wa Kusini Unguja ambapo jumla ya wajasiriamali 723 wamefikiwa  kati ya hao wanawake ni 671 na wanaume ni 53. Na. Ahmed Abdulla. Wajasiriamali kutoka…

2 October 2023, 10:44 am

Sekta ya madini kutengeneza mabilionea wanawake nchini

Sekta ya Madini imeendelea kukua kila siku huku kundi la wanawake likionesha nia kubwa ya kuwekeza katika sekta hiyo huku serikali ikiahidi kuwapa kipaumbele. Na Mrisho Sadick: Chama cha wachimbaji wadogo wanawake nchini TAWOMA kimeanzisha Tuzo za Malkia wa Madini…

29 August 2023, 3:43 pm

Serikali, wadau kushirikiana kukwamua wanawake kiuchumi

Mikopo yenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 63.489 imetolewa na kuwanufaisha wanawake zaidi ya 938,800. Na WMJJWM. Serikali itaendelea kushirikiana na wadau ili kuhakikisha wanawake wanapata fursa mbalimbali za kujikwamua kiuchumi na kuendeleza biashara zao. Hayo yamesemwa na Waziri…

18 July 2023, 12:52 pm

Wanawake Bahi watakiwa kusimamia maadili ya watoto

Mbunge wa Bahi amesema kipaumbele chake ni kuhakikisha afya ya mama na mtoto inakuwa salama. Na Bernad Magawa. Mbunge wa viti maalumu mkoa wa Dodoma Mheshimiwa Fatuma Taufiq amewaasa wanawake wilayani Bahi kusimamia maadili ya watoto ili kutokomeza viashiria vya…

28 June 2023, 7:01 pm

Maswa: Wajane waaswa kuchangamkia fursa 10% mikopo ya halmashauri

Kwenye picha ni mkuu wa wilaya ya Maswa Mhe. Aswege Kaminyoge aliyesimama akizungumza na baadhi ya akina mama wajane walioshiriki maadhimisho ya wajane wilayani hapo kwenye ukumbi wa mikutano Na Mwandishi,Alex.F.Sayi WANAWAKE Wajane wilayani Maswa mkoani Simiyu wameaswa kuchangamkia fursa za…