Radio Tadio

Wanawake

29 August 2023, 3:43 pm

Serikali, wadau kushirikiana kukwamua wanawake kiuchumi

Mikopo yenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 63.489 imetolewa na kuwanufaisha wanawake zaidi ya 938,800. Na WMJJWM. Serikali itaendelea kushirikiana na wadau ili kuhakikisha wanawake wanapata fursa mbalimbali za kujikwamua kiuchumi na kuendeleza biashara zao. Hayo yamesemwa na Waziri…

18 July 2023, 12:52 pm

Wanawake Bahi watakiwa kusimamia maadili ya watoto

Mbunge wa Bahi amesema kipaumbele chake ni kuhakikisha afya ya mama na mtoto inakuwa salama. Na Bernad Magawa. Mbunge wa viti maalumu mkoa wa Dodoma Mheshimiwa Fatuma Taufiq amewaasa wanawake wilayani Bahi kusimamia maadili ya watoto ili kutokomeza viashiria vya…

28 June 2023, 7:01 pm

Maswa: Wajane waaswa kuchangamkia fursa 10% mikopo ya halmashauri

Kwenye picha ni mkuu wa wilaya ya Maswa Mhe. Aswege Kaminyoge aliyesimama akizungumza na baadhi ya akina mama wajane walioshiriki maadhimisho ya wajane wilayani hapo kwenye ukumbi wa mikutano Na Mwandishi,Alex.F.Sayi WANAWAKE Wajane wilayani Maswa mkoani Simiyu wameaswa kuchangamkia fursa za…

31 May 2023, 12:37 pm

Serikali kuwaunga mkono wajasiriamali wa WAUVI

Wajasiriamali hao wametakiwa kuacha kutengeneza bidhaa kwa mazoea badala yake wabadilike na kupiga hatua. Na Alfred Bulahya. Zaidi ya wanachama 3000 wa taasisi ya wanawake na uchumi wa viwanda mkoa wa Dodoma, wamehitimu mafunzo ya ujasiriamali yaliyohusu usindikaji wa vyakula,…

5 May 2023, 3:06 pm

Mila na desturi kandamizi zatajwa kumdidimiza mwanamke

Aidha ameisihi jamii kuwaamini wanawake katika maamuzi kwani hata Dira ya Taifa ya 2025 ya JMT,  Malengo ya Maendeleo Endelevu (2030) hasa lengo Na. 5 na MKUKUTA (I&II) vinataka kuwepo kwa usawa katika masuala ya uongozi ama maamuzi.  Na Alfred…

14 April 2023, 11:51 am

Wanawake watakiwa kupambana na mmomonyoko wa maadili

Hivi karibuni serikali kupitia waziri wa habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Mh Nape Nnauye ilisema kuwa Ushoga,Usagaji pamoja na mapenzi ya jinsia moja hayana nafasi nchini. Na Fred Cheti. Wito umetolewa kwa wanawake nchini kusimama katika nafasi zao katika ulezi…