Uyui FM
99.3 MHz
Ipuli-Tabora Municipal
0713 350 718 or 0712 536 746
uyuifmradio@gmail.com
https://t.me/Teamrealgenius
99.3 MHz
Ipuli-Tabora Municipal
0713 350 718 or 0712 536 746
uyuifmradio@gmail.com
https://t.me/Teamrealgenius
Makala hii inaelezea mwanamke ambae aliyetelekezwa na mumewake baada ya kupata ulemavu na kusababisha mzigo wa malezi kwa mzazi mmoja. Na Zaituni Juma akishirikiana na Nicholaus Mwaibale Bi Tausi ni mama wa watoto watatu mkazi wa Manispaa ya Tabora, ambaye…
3 November 2026, 3:03 pm
Hairuhusiwi kuuza mali iliyopatikana ndani ya ndoa bila ridhaa na ushirikishwaji wa mwenza. Na Mohamed Habibu Wakili wa kujitegemea mkoani Tabora, Kilingo Hassani, amesema mwenza haruhusiwi kuuza mali iliyopatikana ndani ya ndoa bila kumshirikisha mwenzake. Akizungumza na UFR, Wakili Kilingo…
3 November 2026, 11:11 am
TRA Mkoa wa Tabora imeanza kutoa elimu ya kodi na kusajili namba za mlipakodi (TIN) kwa wanafunzi wa vyuo mbalimbali, huku ikieleza kuwa zoezi hilo litaendelea katika vyuo vingine mkoani humo. Na Elson Sabuni Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) mkoa…
28 October 2026, 7:49 pm
Wapangaji na wapangishaji wametakiwa kuingia mikataba ya maandishi inayobainisha kiasi cha kodi, muda na utaratibu wa malipo ili kulinda haki zao na kuepusha migogoro. Na Mohamed Habibu Wakili wa kujitegemea mkoani Tabora Kanani Chombala, amewataka wapangaji na wapangishaji wa nyumba…
28 October 2026, 5:28 pm
Askari 15 waliopandishwa vyeo wasisitizwa kuwa viongozi wa mfano kwa kuzingatia nidhamu, bidii na uwajibikaji, kupandishwa cheo kunaongeza majukumu na kunahitaji maboresho katika utendaji wa kazi. Na Julius Julius Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Tabora, Kamishna…
27 October 2026, 7:47 pm
Serikali imeelekeza kuondolewa kwa wavamizi wa hifadhi za barabara kulinda miundombinu hiyo Na Julius Julius Meneja wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) mkoa wa Tabora, Eng. Rafael Mlimaji, amesema maelekezo ya Serikali nikuwaondoa wavamizi wa hifadhi za barabara, akieleza kuwa…
23 October 2026, 2:23 pm
Kula chakula na kunywa vinywaji kwa kasi kunaweza kuhatarisha afya ya binadamu, ikiwemo kuongeza hatari ya kukabwa na chakula Na Mohamed Habibu Afisa Lishe kutoka Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tabora Kitete, Johana Ernesti, amebainisha madhara yanayoweza kujitokeza kwenye…
23 October 2026, 1:27 pm
Imeelezwa kuwa mara nyingi mwanaume anapofariki, mwanawake na watoto hukosa haki ya mirathi. Kutana na Rahma Katuga mhanga wa hili akielezea hali ya maisha baada ya kufiwa na wazazi wake. Na Zaituni Juma, Nicholaus Mwaibale Mwanamke Rahma Katuga, mkazi wa…
20 October 2026, 5:44 pm
“Mafanikio hayo ni sehemu ya matokeo ya moja kwa moja ya kampeni ya “Ongea na Kamanda”. Na Julius Julius Jeshi la Polisi Mkoa wa Tabora linawashikilia watu watatu kwa tuhuma za kuwa sehemu ya mtandao wa kuuza na kusambaza dawa…
19 October 2026, 8:16 pm
Zoezi la ukaguzi wa ghalfa na utoaji wa elimu ni juhudi za kuhakimisha abiria wanatambua wajibu wao wa kuchukua hatua wanapobaini ukiukwaji wa sheria za usalama barabarani badala ya kusubiri madhara yatokee. Na Julius Julius Jeshi la Polisi limewataka abiria…
19 October 2026, 7:18 pm
“Abiria wanapaswa kushiriki kudhibiti ajali za Bodaboda kwa kuepuka kupanda pikipiki zisizozingatia sheria za usalama barabarani“ Na Mohamed Habibu Mwenyekiti wa Umoja wa Maafisa Usafirishaji mkoa wa Tabora, Mrisho Shime, amesema abiria wana nafasi kubwa katika kudhibiti ajali za pikipiki…