Uyui FM
Uyui FM
23 October 2026, 1:27 pm

Makala hii inaelezea mwanamke ambaye alidhulumiwa mali alizoachiwa na wazazi wake akiwa mdogo pamoja na kunyang’anywa urithi baada ya mumewake kufariki
Na Zaituni Juma, Nicholaus Mwaibale
Mwanamke Rahma Katuga, mkazi wa Wilaya ya Kaliua mkoani Tabora, ni mmoja wa waathirika wakubwa wa dhuluma zinazofanywa na baadhi ya ndugu wa marehemu kwa mjane na watoto.