Uyui FM
Uyui FM
3 June 2026, 2:27 pm

Makala hii inaelezea Binti aliyekatisha masomo kutokana na kupata ujauzito akiwa na umri mdogo.
Na Zaituni Juma akishirikiana na Nicholaus Mwaibale
Binti Linaya (ambaye si jina lake halisi) mkazi wa Manispaa ya Tabora alipata ujauzito akiwa kidato cha nne na kukatisha ndoto zake, sababu kubwa ilikuwa ni ukosefu wa elimu ya afya ya uzazi hali iliyosababisha kujiingiza kwenye makundi yasiyofaa.