Radio Fadhila

Recent posts

8 June 2023, 9:49 AM

Mkuu wa wilaya Masasi, viongozi wa dini wakutana apokea maoni

Mkuu wa wilaya ya Masasi Lauter Kanona amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi mbalimbali wa kimila na kidini ndani ya wilaya hiyo, mazungumzo yaliyolenga  kujitambulisha  mbele ya jamii hiyo na kupokea maoni mbalimbali kutoka kwao. Miongoni mwa mambo ambayo yamejadiliwa…

29 May 2023, 10:14 AM

DC Chaurembo: Aliyejirekodi na kusambaza video chafu achukuliwe hatua

Nanyumbu Mkuu wa wilaya ya Nanyumbu Mariam Chaurembo ameliagiza Jeshi la Polisi wilaya ya Nanyumbu kumkamata na kumchukulia hatua kali za kisheria mwanamke aliyetambulika kwa jina la Zakia Yassini mzaliwa wa Maswera wilayani humo, umri wake ukikadriwa kuwa kati ya…

29 May 2023, 9:32 AM

Shirika la SDA lagawa vifaa vya michezo shule za msingi, sekondari Masasi

MASASI. Shirika lisilo la kiserikali linalojishughulisha na michezo Sports  Development Aid SDA, limeunga mkono  juhudu za serikali za kuhakikisha jamii inajengewa uwezo wa kuwa na afya njema   kwa kugawa vifaa vya michezo kwa shule za msingi na sekondari za halmsahuri…

17 April 2023, 9:15 PM

TCB Bank yatoa msaada shule ya sekondari Nangomba

NANYUMBU Tanzania Commercial BankTawi la Wilaya ya Masasi Mjini  leo imetoa msaada wa viti ,menza na kabati za  kutunzia vifaa katika maktaba ya shule ya sekondari nangomba kama ilivyo sesturi waliojiwekea kama bank  kurudisha faida kwenye jamii walicho vuna, mradi…

11 April 2023, 8:46 PM

Mapokezi ya mwenge wa uhuru halmashauri ya mji Masasi

makabidhiano ya Mwenge wa uhuru Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Masasi akimkabidhi Mwenge wa Uhuru Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Masasi Ndg Elias Ntiruhungwa. Ukiwa Halmashauri ya Mji Mwenge wa Uhuru utakimbizwa Kilometa 81 na utapita katika Miradi 5…

29 March 2023, 10:13 AM

Jamii ya wafugaji Lukuledi wakosa chanjo ya UVIKO 19

 Kutokana na mabadiliko ya tabia nchi inayosababisha jamii za wafugaji kuhamahama kutafuta malisho kumechangia kwa kiasi kikubwa kupelekea jamii kukosa kupata baadhi ya huduma za kijamii Hayo yamesema na baadhi ya Jamii ya wafugaji ambao wanafanya shughuli zao za ufugaji…

9 March 2023, 11:04 AM

Mtandao wa Askari wanawake Tanzania na watoto wenye usonji

Picha na Lilian Martin Katika kilele Cha siku ya wanawake Duniani umoja wa Majeshi wilayani Masasi kupitia mtandao wa Askari wanawake wameadhimisha siku ya wanawake Duniani Kwa kuwa pamoja na watoto wenye mtindio wa ubongo na usonji katika shule ya…