Recent posts
4 September 2026, 13:53 pm
WWF yaongoza vijana uhifadhi wa mazingira
Shirika la Kimataifa la Uhifadhi wa Mazingira na Wanyamapori (WWF Tanzania) limeendelea kuwawezesha vijana katika Halmashauri ya Mji Masasi kushiriki kikamilifu katika utunzaji wa mazingira kupitia programu ya Youth Grassroot Leadership, inayolenga kuwajengea uwezo vijana kutambua na kutatua changamoto za…
4 September 2026, 13:35 pm
Nafasi ya kijana katika kudumisha amani
Karibu kusikiliza kipindi cha Sauti ya Amani ambapo utawasikiliza vijana wakieleza ni namna gani wanaweza kuitunza amani na mambo kwenda sawa. Na hii ni makala ya Sauti ya Amani ambayo inaletwa kwako na Godbless Lucius
8 May 2026, 16:53 pm
Sikiliza Vipaji vya watoto wa Migongo mission Day care
Radio fadhila na watoto wa Migongo Mission Day care wakionyesha uwezo wao wakiwa darasani Na lilian martin karibu kusikiliza kipindi cha watoto
7 May 2026, 19:57 pm
Je unafahamu kuhusu kilimo ikolojia?
Watu wengi tunatambua kuhusu kilimo lakini je? Tunafahamu kuhusu kilimo ikolojia? Kuyafahamu mengi kuhusu kilimo hiki karibu kusikiliza kipindi kutoka Radio fadhila karibu kusikiliza kipindi cha kilimo ikolojia kilichoandaliwa na Asha Mustafa akishirikiana na Godbless Lucius
22 April 2026, 12:05 pm
Yafahamu mengi kuhusu dhamana
Karibu kusikiliza kipindi cha Mahakama ambapo leo tupo na Hakimu Mkazi mahakama ya mwanzo Lisekese pamoja na Hakimu mkazi mahakama ya mwanzo Lulindi. Na lilian Martin katika kipindi hiki cha mahakama kimeangazia kuhusu dhamana na kuangalia maana ya dhamana,aina ya…
21 April 2026, 11:57 am
Ufugaji Nyuki chanzo cha utunzaji wa Misitu
Ni katika muendelezo wa kipindi cha ufugaji wa Nyuki ambapo leo tunakwenda kuyasiki mengi zaidi na kutambua namna ya kupata Elimu ya ufugaji nyuki kwa kujiunga katika vikundi Na mwandishi wetu Ufugaji wa nyuki ni chanzo kikubwa cha utunzaji wa…
20 April 2026, 10:22 am
Yafahamu maajabu ya nyuki
Watu wengi wamekuwa wakiwaogopa sana nyuki kutokana na namna yao ya kujilinda pindi wanapoona hatari. Je, unafahamu maajabu ya nyuki? Sikiliza makala hii. Na Asha Mustapha
15 April 2026, 12:38 pm
Wanafunzi wafurahia zawadi kutoka kwa Waziri
Katika kukuza sekta ya elimu nchini waziri wa ardhi na maendeleo ya makazi Dk Leonard Akwilapo amezidi kugusa baadhi ya shule na kuwapatia vifaa. Na lilian Martin Mbunge wa Jimbo la Masasi Mji,Waziri wa Ardhi nyumba na maendeleo ya Makazi,…
27 March 2026, 14:11 pm
Kilimo cha mavundu chatoa tumaini kwa wakulima Nachingwea
‘Kilimo ni uti wa mgongo’, huu ni msemo uliotumiwa tangu enzi za kale na hadi leo msemo huu unaishi ndani ya jamii zetu na kutambua umuhimu wa kilimo katika maisha. Na. Faraja Membe Shirika la Kuhifadhi Misitu Asili Tanzania (TFCG),…
27 March 2026, 13:48 pm
ETDCO yaanza ujenzi wa njia maalum kusafirisha umeme Mtwara
Kampuni ya Ujenzi na Ukarabati wa Miundombinu ya Usafirishaji na Usambazaji wa Umeme (ETDCO) @etdco_tz imeendelea na utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa njia maalumu ya kusafirisha umeme yenye urefu wa kilomita 76 kutoka wilaya ya Masasi hadi Newala, mkoani…