Radio Fadhila

Recent posts

5 August 2025, 15:30

Kumnywesha maji  mtoto aliye chini ya miezi 6 kunaharibu mfumo wa chakula

“Jamii  iache  kuishi  kwa  mazoea kwenye  suala  la   malezi hususani unyonyeshaji  wa maziwa  ya  mama ili  kuwaandaa  watoto  wenye  ukuaji  bora  kimwili  na  kiakili” Na Neema Nandonde Kufuatia  maadhimisho  ya  wiki  ya unyonyeshaji duniani, jamii wilayani Masasi  mkoani Mtwara, imeaswa…

1 July 2025, 08:11

Masasi: Muumini atuhumiwa kumuua mchungaji baada ya kumuombea

“Victor Francis alikuwa ni muumini wa muda mrefu wa kanisa hilo na alikuwa akihudumiwa kwa maombi na marehemu Mchungaji kwa kipindi cha zaidi ya mwaka mmoja kutokana na matatizo ya kiafya“ Na Neema Nandonde Jeshi la Polisi mkoani Mtwara linamshikilia…

26 June 2025, 11:19

MAMCU yaongoza njia kupambania ushirika kwa vitendo

“Mnaweza kusafisha ufuta vizuri na mkaufunga kwenye vifungashio, lakini watu wasio waaminifu wakaenda mbele wakabadilisha  vifungashio wakaweka uchafu, MAMCU tutalidhibiti hilo kwa kuzalisha vifungashio vyetu vitakavyohifadhi mazao moja kwa moja” Na Neema Nandonde Chama  kikuu cha  Ushirika MAMCU kinachohudumia wakulima…

23 June 2025, 16:09

MANAWASA yakaribia kupata ufumbuzi kero mgao wa maji Masasi

“Kutokana  na  ongezeko  la  wateja  wanaohitaji  huduma ya  maji kupitia MANAWASA, kumesababisha  chanzo chetu kuzidiwa  hivyo  kulazimika  kuwa  na  mgao  wa  maji ili kila  mteja  asikose  kabisa maji“ Na Neema Nandonde Mamlaka ya  maji safi  na usafi  wa  mazingira Masasi-Nachingwea…

19 June 2025, 09:37

Usiri watajwa chanzo ukatili kwa watoto Masasi

“Familia nyingi zinaamua kukaa  kimya pindi  mwanafamilia  anapomfanyia  ukatili  mtoto aliyeko ndani ya  familia  hiyo, kwa kuhofia  kuwa wakiripoti tukio hilo mwanafamilia huyo atachukuliwa hatua“ Na Neema Nandonde Jamii wilayani  Masasi  mkoani Mtwara  imetakiwa  kuacha  kuficha  matukio ya  ukatili dhidi…

16 June 2025, 21:47

Maadhimisho ya mtoto wa Afrika wazazi wakumbushwa wajibu wao

Wazazi, walezi na jamii kwa ujumla wamekumbushwa wajibu wao kwa watoto kwa kuzitambua haki za mtoto ili kuwalinda dhidi ya ukatili na kuwapa haki zao za msingi Na Lilian Martin Katika maadhimisho ya mtoto wa Afrika yaliyofanyika Wilayani Masasi na…

14 June 2025, 15:24

Kufikia adhima ya tani laki 7 kwa 2025-2026 maafsa ugani wapigwa msasa

Mtafiti wa kilimo akitoa maelezo Katika kuifikia adhima ya serikali ya kuongez uzalishaji wa zao la kotosho kwa mwaka 2025-2026 hadi kufikia tani millioni 1 kwa mwaka 2029-2030 maafsa ugani wapewa mafunzo yatakayoleta tija kwa wakulima Na Lilian Martin Maafsa…

5 June 2025, 19:28

Masasi yaandika historia taka ngumu zikigeuzwa fursa

Taka zinazozalishwa majumbani na viwandani, bado ni fursa kwa jamii, badala  ya  kuzitupa mtaani wanaweza kutengeneza  mkaa mbadala ambao ni mzuri kwa afya ya  binaadam na mazingira. Na Neema Nandonde Kutokana na kuanzishwa kwa kituo cha elimu ya  mazingira kilichopo wilayani…

1 June 2025, 17:24

Sababu ya panya kufanywa kitoweo Masasi

Panya wanaoliwa si wale wanaoishi ndani ya nyumba bali wanaishi porini na wana lishe bora kutokana na kuharibu mazao ambayo mara nyingi wanakula viini ambavyo kitaalam ndivyo vina lishe. Na Neema Nandonde Kumekuwa na simulizi nyingi kuhusu vyakula vya asili…

1 June 2025, 16:54

Sumu kuvu chanzo cha upungufu wa nguvu za kiume

 “Tatizo watanzania wengi wanatumia mazoea kwenye shughuli za kilimo, hili tumekutana nalo kwenye maeneo mengi nchini, wanavuna mahindi wanatupa chini (ardhini) kama njia ya kukausha, hii inasababisha uzalishaji  fangasi wanaosababisha Sumukuvu” Na  Neema Nandonde Jamii wilayani Masasi mkoani Mtwara imeshauriwa …

Mission And Vision

Fadhila FM radio inapatikana Masasi mkoani mtwara