Radio Fadhila
Radio Fadhila
29 May 2025, 19:01
Licha ya kuzaliwa akiwa mlemavu wa viungo Daisy hufanya shughuli zake kwa kutumia mikono na kutengeneza vitu mbalimbali ambavyo humfanya kumuingizia kipato. Na Lilian Martin Daisy Ajetu ni mama wa Familia anaishi Masasi mtaa wa Nyasa anajishughulisha na ubunifu wa…
20 May 2025, 20:46
Na Lilian Martin Licha ya umri alionao, Bibi Stefania Mmole amekuwa akifanya shughuli mbalimbali hali inayomfanya kuwa na nguvu tofauti na watu wa umri wake wanaokaa bila kufanya mazoezi. Stefania Saidi Mmole mwenye umri wa miaka 89 mkazi wa Masasi…
19 May 2025, 11:28
Mradi wa Kituo cha Biashara Masasi (Masasi Comercial Complex) umelenga kuboresha huduma kwa jamii na wafanyabiashara ndani na nje ya wilaya ya Masasi Na Neema Nandonde Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa kwa mwaka 2025, Ismail Ali Ussi,…
17 May 2025, 17:39
Kampeni ya NBC Shambani inatarajia kuanza rasmi juni 1 na itahitimishwa Julai 31 2025, ambapo wanaojihusisha na biashara ya kilimo ambao ni wateja wa NBC, watakaokidhi vigezo watapatiwa zawadi Na Neema Nandonde Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), imezindua rasmi …
12 May 2025, 14:12
Inadaiwa kuwa chanzo cha tukio hilo ni mgogoro uliotokana na tuhuma za wizi, ambapo mtuhumiwa alimshuku marehemu kuwa anamuibia baadhi ya vitu vyake. Na Lilian Martin Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara linamshikilia mtu mmoja aitwaye Wales Gerald (45), mkazi…
10 May 2025, 09:50
Picha ya uzinduzi wa reli ya jimbo la kusini mwaka 1949. Picha na Google Na Neema Nandonde Sikiliza Makala fupi iliyoandaliwa na Neema Nandonde kuhusu Historia ya reli ya jimbo la Kusini Sauti ya Neema Nandonde kuhusu Historia ya reli…
10 May 2025, 09:20
Mkuu wa wilaya ya Masasi Bi. Rachel Kassanda akiwajulia hali majeruhi katika hospitali ya wilaya Mkomaindo. Picha na Halmashauri ya Mji Masasi Jeshi la Polisi fanya ukaguzi wa mara kwa mara wa kuhakikisha madereva wote wawili wanakuwepo kwenye mabasi yanayosafiri…
10 May 2025, 08:51
Mratibu wa mradi Bridge Tanzania kitaifa Bi Fatma Shabani Mrope. Picha na Google mradi huu utatekelezwa kwa kipindi cha miaka mitano katika wilaya tatu ambazo ni Masasi, Geita na Kaskazini Unguja, pia unawapa nafasi hawa Vijana na haswa Wanawake ni…
30 April 2025, 17:34
Haya ni mambo yanayojili katika jamii zetu na katika yote hivyo nawasamehe wale wote waliotenda hayo yamkini si akili yao Na Lilian Martin Watu wasiojulikana wamevamia katika kanisa Anglikana lililopo kijiji cha Mpeta wilayani Masasi mkoani Mtwara na kukusanya baadhi…
19 April 2025, 12:18
Picha na Godbless Lucius Wazee na viongozi wa dini nahitaji ushirikiano wenu juu ya kujenga maadili na nidhamu kwa wananchi, ili kujenga kizazi bora chenye heshima Na Neema Nandonde Mkuu wa Wilaya ya Masasi mkoani Mtwara, Rachel Kassanda, amewataka wazee…
Fadhila FM radio inapatikana Masasi mkoani mtwara