Radio Fadhila

Recent posts

19 April 2025, 11:44

Makala aijibu CHADEMA kuhusu makaa  ya  mawe

Katibu wa NEC, itikadi, uenezi na mafunzo CCM taifa,  CPA Amos Makala akihutubia wanachama na wananchi wilayani Masasi. Picha na Godbless Lucius Si kila   gari lililobeba  makaa  ya  mawe ni kwaajili  ya kusafirisha  kwenda  kuuza nje  ya nchi, kuna  viwanda …

11 April 2025, 14:52

TCRA yasisitiza matumizi ya namba 3 muhimu kudhibiti utapeli

Mhandisi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Kanda ya Mashariki Khatibu Chande, alipokuwa akizungumza kupitia redio Fadhila. Picha na Godbless Lucius Namba 15040 mwananchi ataitumia  kuripoti  namba  za  mtu anayejihusisha  na  utapeli wa kimtandao na  namba hizo bure bila malipo…

11 April 2025, 14:41

Watoto kutelekezwa kwa bibi sababu ongezeko la watoto mitaani

Wazazi wengi huwapeleka watoto kwa ndugu akiwemo bibi au babu, pasi na kufuatilia maendeleo ya  watoto  hao au kuwapatia  mahitaji muhimu, jambo linalosababisha watoto kutoangaliwa ipasavyo na ndugu walioachiwa, na hatimaye kujikuta  wanajitafutia chakula, makazi na malazi mtaani. Na Neema…

11 April 2025, 14:26

DC Masasi ahimiza jitihada zaidi kuinua kiwango cha elimu

Mkuu wa wilaya ya Masasi Bi. Rachel Kassanda akifuatilia baadhi ya matukio yaliyokuwa yanaendelea wakati wa mkutano wa hadhara. Picha na Godbless Lucius Wanafunzi waliotakiwa  kujiunga  na  kidato cha kwanza mwaka 2025, asilimia 98 wamesharipoti shuleni na kuanza masomo. Na…

11 April 2025, 14:06

Heche: Kundi la G55 halitengui msimamo wa mkutano mkuu CHADEMA

Makamu mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche akizungumza kwenye kipindi cha Asubuhi cha Morning Booster kinachorushwa na redio Fadhila. Picha na Godbless Lucius Hata chama cha CHADEMA kikifanikiwa kushika dola, kisipotendenda haki kwa watanzania sisi kama…

25 March 2025, 15:39

Mkulima auwawa na tembo Liwale

Picha na Google Tukio hilo limeibua hofu miongoni mwa wakazi wa eneo hilo, huku wakihofia usalama wao kutokana na tembo kuvamia makazi na mashamba yao. Na Neema Nandonde Mkulima Abasi Bakari Libunda (62) kutoka Kitongoji cha Nangorokoro, Kijiji cha Mirui…

19 March 2025, 11:10

MAKALA: Mfahamu zaidi mbunifu wa jina la TANZANIA

Mtunzi wa jina la Tanzania Mohammed Iqbal Dar. Picha na Google Akiwa mwanafunzi mwenye umri wa miaka 18 shuleni Mzumbe, Iqbal alikutana na tangazo linalomtafuta mtu ambaye atatoa wazo la jina la nchi, baada ya kuunganishwa kwa Zanzibar na Tanganyika.…

19 March 2025, 10:55

MANAWASA yafanikiwa kufunga mita 95 za malipo ya kabla

Mkurugenzi wa Huduma kwa wateja wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Masasi Nachingwea (MANAWASA) Obadia Mtuya. Picha na Godbless Lucius “Wateja wa huduma ya maji wanazidi kuongezeka, na sisi kama taasisi tutaendelea kuboresha mifumo yetu ili kuhakikisha…

18 March 2025, 06:44

Jamii yaaswa kufanya uchunguzi wa afya ya kinywa na meno

Picha na google “Jamii iachane na msemo wa dawa ya maumivu ya jino ni kuling’oa, kwani siku hizi jino linatibiwa kwanza mpaka ifikie hatua ambayo haliwezekani kabisa ndipo litang’olewa” Na Neema Nandonde Kuelekea kilele cha madhimisho ya wiki ya afya…

Mission And Vision

Fadhila FM radio inapatikana Masasi mkoani mtwara