Radio Fadhila
Radio Fadhila
13 March 2025, 06:33
Tukio hilo lilitokea Februari 12, 2025, mtuhumiwa alimpiga mama yake kichwani kwa kutumia mchi, na kusababisha majeraha yaliyosababisha kifo chake. Na Neema Nandonde Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara linamshikilia Hamisi Mohamedi (25), mkazi wa Kata ya Mlingula, Wilaya ya…
12 March 2025, 21:10
Kitendo kinachoelezwa kama ‘kukataliwa’ kimesababishwa na ndugu wa marehemu kupewa maelekezo ya kwanza yasiyo sahihi, kutoka kwa mhudumu aliyewataka kwenda moja kwa moja kwenye geti dogo la kuingilia mochwari. Na Neema Nandonde Kufuatia mwanamke aliyejulikana kwa jina la Rukia Said, mkazi…
10 March 2025, 15:02
Bandari ya Mtwara baada ya maboresho makubwa yaliyofanywa na serikali. Picha na Google Meli hiyo ni moja kati meli nne, ambazo zinatarajiwa kuwasili bandarini hapo mwezi huu wa tatu hadi wa nne, zikileta salpha kwa ajili ya kukuza uzalishaji wa…
8 March 2025, 21:58
ni katika maandamano ya pamoja Wanawake wilayani Masasi mkoani Mtwara wameadhimisha Siku ya Maombi ya wanawake katika kuombea taifa na mambo mbalimbali. Katika maandamano hayo yaliyohusisha na mabango yenye jumbe inayosomeka (Nimeumbwa kwa namna ya ajabu) yenye lengo la kumfanya…
7 March 2025, 12:01
Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Masasi Bi. Mariam Kasembe akiwa ameongozana na kamati ya siasa wakati wa ukaguzi wa miradi halmashauri ya mji Masasi. Picha na Godbless Lucius Kamati hiyo imepongeza hatua ya halmashauri ya Mji Masasi, kwa kutumia mapato…
7 March 2025, 10:33
Katika kufahamu zaidi kuhusu faida za usafiri wa baiskeli kwa wanafunzi, mwenzetu Neema Nandonde ametuandalia makala iliyohusisha mahojiano na wanafunzi wanaotumia usafiri huo wilayani Masasi mkoani Mtwara. Na Neema Nandonde Sauti ya Makala nzima kuhusu usafiri wa baiskeli kwa wanafunzi.
14 February 2025, 11:45
Na lilian Martin picha na Godbless Lucius Katika kuadhimisha siku ya Radio Duniani kulikuwa na kaulimbiu inayosema Radio na badiliko ya tabia ya nchi hivyo wadau kutoka TFS ikiongozwa na Afsa ugani kanda ya kusini {Lindi,Mtwara,na Ruvuma} Bwan Anderson Besisila…
20 January 2025, 12:45
licha ya kuwa mwanamuziki mkongwe pia King kiki ni mtunzi,mpangaji mziki na mwenye ujuzi wa ujasiliamali wa muziki.
9 January 2025, 23:25
Waandishi wa habari wametakiwa kuandika habari kwa kuzingatia maadili ya uandishi ili kuepuka kuingia kwenye matatizo wakati wa uchaguzi mkuu. Na Lilian Martin Mhariri wa radio tadio Hilali Ruhundwa ametembelea kituo cha Radio Fadhila leo Januari 09, 2025 na kutoa…
9 January 2025, 11:48
Licha ya kuwa mlemavu wa kutoona Mzee Morris Nyunyusa alikuwa na uwezo wa kupiga ngoma 17 kwa wakati mmoja. Na Asha Mustafa Hii ni makala fupi kuhusiana na mpiga ngoma maarufu marehemu Morris Nyunyusa.
Fadhila FM radio inapatikana Masasi mkoani mtwara