Radio Tadio

Sheria

23 May 2023, 7:32 pm

TAKUKURU yafichua maduka yanayouza viuatilifu mali ya serikali

KATAVI Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoa wa Katavi imefanikiwa kufichua maduka yanayouza viuatilifu ambavyo ni mali ya serikali chini ya usimamizi wa bodi ya pamba. Hayo yamesemwa na mkuu wa TAKUKURU mkoa wa Katavi Faustine Maijo…

12 May 2023, 5:46 am

Wananchi wanawajibu wa Kushiriki Kuepusha Ajali

KATAVI Baadhi ya wananchi mkoani Katavi wametoa maoni juu ya ushiriki wao katika kuepusha ajali pindi wanavyokuwa katika vyombo vya usafiri Wakizungumza na Mpanda Redio FM kwa nyakati tofauti wamesema kuwa wanawajibu wa kupaza sauti kwa dereva ambaye hazingatii sheria…

29 April 2023, 12:02 pm

Wananchi Iringa waaswa kuacha kilimo Cha Bangi.

Na Joyce Buganda Wananchi Mkoani iringa wametakiwa kufanya kazi kwa bidii na kutojihusisha na kilimo cha zao la bangi linaloleta madhara kwa vijana kwani ni kosa kisheria. Akizungumza na kituo hiki¬† kamishina msaidizi wa polisi ambae pia ni mkuu wa kitengo…

25 April 2023, 8:35 pm

Afungwa Jela miaka 30 kwa Kumbaka Mwanaye Iringa

Na Frank Leonard MAHAKAMA ya Wilaya ya Iringa imemuhukumu kifungo cha miaka 30 jela Imani Mfilinge (46) baada ya kumkuta na hatia ya kumbaka mwanaye wa miaka 13. Mfilinge ambaye ni mkulima na mkazi wa kijiji cha Isimani alitenda kosa…

16 April 2023, 3:11 pm

Madereva wa Vyombo vya Moto Watakiwa Kuhakiki Leseni Zao

KATAVI Madereva wa vyombo vya moto mkoa wa Katavi wametakiwa kutumia muda ulioongezwa kuhakiki leseni zao ili kuepusha usumbufu unaowezajitokeza kwa kutohakiki leseni zao. Kauli hiyo imetolewa na askari kutoka kitengo cha usalama barabarani mkoa wa Katavi Geofrey Brighton amesema…

3 April 2023, 3:05 pm

Kete 58 za dawa za Kulevya aina ya Heroine zakamatwa Iringa

Madawa ya Kulevya aina ya Heroin yamekatwa na Jeshi la Polisi Mkoani Iringa baada ya Mtuhumiwa kuumwa Tumbo. Na Fabiola Bosco/ Joyce Buganda Jeshi la polisi mkoani wa Iringa linamshikilia Mwasema Rashid (37) mkazi wa Tabata Magengeni Jijini Dar es…

28 March 2023, 12:17 pm

Kijana ahukumiwa kunyongwa hadi kufa Mufindi

Liston Dugange mkazi wa Kijiji cha Mtambula Wilayani Mufindi ¬†ahukumiwa kunyongwa hadi kufa kwa mauaji ya kukusudia dhidi ya Emmanuel Mbigi. Na Mwandishi wetu Mahakama Kuu Kanda ya Iringa iliyoketi Wilayani Mufindi imetoa adhabu ya kunyongwa hadi kufa Liston Dugange…

3 March 2023, 4:46 pm

Majangili Wanaswa na Meno ya Tembo

Hii ni moja ya mafanikio ya misako inayofanyika na jeshi la polisi mkoa wa Iringa wakishirikiana na TANAPA. Na Adelphina Kutika. Askari wa Hifadhi ya Taifa ya Ruaha (Runapa) kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi Tanzania limewakamata watu watatu mjini…