Radio Tadio

Sheria

17 November 2023, 10:08 AM

Masasi waonywa kutotumia walemavu kujiingizia kipato

MASASI. Jamii wilayani Masasi imetakiwa kutowatumia watu wenye changamoto ya ulemavu kama sehemu ya kujiingizia kipato kwani kufanya hivyo ni kosa kisheria. Wito huo umetolewa na wakili wa kujitegemea wilayani humo Kida Mwangesi, katika studio za Radio Fadhila wakati akiwasilisha…

3 November 2023, 6:44 pm

Ahukumiwa miaka30 kwa kumbaka mwanae.

Mtukio ya ukatiri wa kijinsia yamekuwa yakijitokeza katika familia nyingi wilayani Sengerema huku baadhi yao wakiyafumbia macho jambo linalo hatarisha na kusababisha kuendelea kushamili kwa matukio hayo. Na;Joyce Rollingstone. Mkazi wa kijiji cha Nyamizeze Wilayani Sengerema mkoani Mwanza,Samson Paschal Mibulo…

1 November 2023, 7:51 pm

Wakala afikishwa mahakamani kwa kosa la uhujumu uchumi Rungwe

Na Mwandishi wetu: Rungwe – Mbeya Wakala wa kukusanya ushuru katika  halmashauri ya wilaya ya Rungwe amefikishwa mahakamani kutokana na kesi ya uhujumu uchumi. Oktoba 30, 2023 katika Mahakama ya Wilaya Rungwe, mbele ya  Hakimu Mhe. Mwinjuma Bakari Banga  imefunguliwa…

30 October 2023, 2:09 pm

Bahi Sokoni waanza utaratibu wa kusoma mapato na matumizi

kupitia  mkutano huo elimu mbalimbali zilitolewa ikiwemo suala la ukatili wa kijinsia. Na. Bernad Magawa. Kijiji cha Bahi Sokoni wilayani Bahi kimeanza kutekeleza kwa vitendo agizo la Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Bahi Zaina Mlawa alilolitoa  hivi karibuni…