Radio Tadio

Sheria

27 January 2024, 7:29 pm

Migogoro ya ardhi, mirathi yapatiwa mwarobaini Maswa

“Wananchi waitumie wiki na siku ya sheria kupata elimu ya kisheria ili kupunguza migogoro isiyo ya lazima hasa migogoro ya ardhi na mirathi kwa sasa hairipotowi kwa wingi katika vyombo vya kutoa haki.” Na,Daniel Manyanga Mkuu wa wilaya ya Maswa…

26 January 2024, 23:18

Kyela: Wiki ya sheria yazinduliwa rasmi wilayani Kyela

Kuelekea kilele cha maadhimisho ya Sheria hapa nchini wanafunzi zaidi ya miatatu pamoja na walimu wao katika shule ya sekondari Mwakilima wamepatiwa elimu ya masuala mbalimbali yahusuyo haki za kisheria. Na Nsangatii Mwakipesile Maadhimisho ya wiki ya sheria hapa nchini…

26 January 2024, 15:51

Wananchi kunufaika na elimu ya sheria Buhigwe

Wakati tukiwa katika wiki ya sheria, Wananchi Wilayani Buhigwe Mkoani Kigoma wametakiwa kuendelea kufika katika vituo maalumu ambavyo vimeandaliwa kwa ajili ya kupata elimu ya kisheria. Na Emmanuel Kamangu.

11 January 2024, 6:58 pm

Washiriki 1,707 wajiandikisha kushiriki utoaji maoni

Baada ya hapo, kamati hiyo itachambua maoni hayo yaliyopokewa. Na Seleman Kodima.Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria, Joseph Mhagama amesema jumla ya washiriki 1,707 wamejiandikisha kwenye ushiriki wa utoaji maoni. Pia, taasisi za kidini,…

9 January 2024, 18:38

Bodaboda zingatie Sheria za usalama barabarani

Na mwandishi wetu,Songwe Madereva wa Pikipiki maarufu kama Bodaboda wa Wilaya ya Momba Mkoa wa Songwe wametakiwa kufuata sheria za usalama barabarani na kuzingatia matumizi sahihi ya barabarani ikiwa ni pamoja na kuacha kujihusisha na usafirishaji wa bidhaa za magendo…

4 January 2024, 5:09 pm

Viongozi watakiwa kuzingatia sheria za maadili ya umma

Hayo yamesemwa na Alfred Mboya Afisa maadili kutoka secretariete ya maadili ya viongozi wa umma wakati akifanya mahojiano na Dodoma Tv. Na Aisha Alim.Viongozi wa umma wametakiwa kuzingatia sheria za maadili ya viongozi katika Taasisi zao ili wawe mfano wakuigwa…

29 November 2023, 9:46 am

Bajaj zinazopita njia tofauti kutozwa faini ya laki 2 Iringa

Na Frank Leonard Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Iringa, Kastori Msigala ameliomba Baraza la Madiwani wa halmashauri hiyo kurudisha faini ya Sh 200,000 kwa bajaji zinazopita njia zilizozuiliwa. Kwa sasa bajaji zinazokamatwa kwa makosa hayo, wamiliki wake wanatozwa faini…