Radio Tadio

Nishati

June 14, 2025, 10:52 am

Wakulima bora wa tumbaku wapewa zawadi ya pikipiki

Wakulima wa zao la Tumbaku wamekabidhiwa pikipiki baada ya kufanya vizuri katika uzalishaji wa zao la Tumbaku Na Leocadia Andrew Kampuni ya ununuzi wa tumbaku Tanzania ya Alliance One imetoa pikipiki kwa wakulima bora wa zao la Tumbaku kwa mkoa…

14 June 2025, 10:09 am

Bodaboda Maswa wakiri kutozijua sheria za barabarani

Imebainishwa kuwa ongezeko la ajali za barabarani wilayani Maswa mkoani Simiyu,umetajwa kusababishwa na waendesha bodaboda wasiojua sheria za usalama barabarani hali iliyomlazimu mkuu wa Wilaya hiyo kukutana na bodaboda hao. Na Alex Sayi Baadhi ya waendesha bodaboda wilayani Maswa mkoani…

6 June 2025, 3:27 pm

RC Katavi awasihi bodaboda kutunza amani

Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mwanamvua Hoza Mrindoko akitoa neno kwa bodaboda. Picha na Samwel Mbugi “Nyie ni nguzo kubwa ya usalama katika mkoa wetu” Na Samwel Mbugi Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mwanamvua Hoza Mrindoko amewataka bodaboda mkoa wa…

22 May 2025, 2:02 pm

Wananchi Maswa watoa kilio kwa DC  Anney

Migogoro mingi ya Wanandoa inasababishwa na kutokuandika Wosia inapotokea mume amefariki Dunia ndugu wa mwanaume wanakuja juu na kumdhurumu mali mjane aliyeachwa na marehemu wakati mali hizo wamezitafuta wawili hao. ” Dc Dkt Vicent Anney “ Wananchi  wa  kata  za …

May 6, 2025, 1:58 pm

Uzalishaji wa zao la pamba umeendelea kuimarika nchini

”Zao la pamba umeendelea kuimarika nchini, ambapo hadi sasa umeongezeka kutoka tani 180,000 hadi kufikia tani 400,000” Na Sebastian Mnakaya Serikali imesema uzalishaji wa zao la pamba umeendelea kuimarika nchini, ambapo hadi sasa umeongezeka kutoka tani 180,000 hadi kufikia tani…

14 April 2025, 13:49

UNIDO yahamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia

Mkuu wa Mkoa Kigoma Thobias Andengenye amesema Serikali itaendelea kushirikiana na wadau wa maendeleo katika kuhamasisha jamii kutumia nishati safi ya kupikia. Na Josephine Kiravu Wadau mkoani kigoma wametakiwa kuendelea kutoa elimu kwa jamii kuhusu matumizi ya nishati safi ya…

2 April 2025, 8:04 pm

Fisi wavamia na kuua kondoo wa mahari Bariadi

“Hivi hatuwezi kumaliza kabisa suala la fisi mkoani hapa? Siku chache zilizopita matukio kama haya yaliripotiwa katika wilaya za Itilima na Maswa leo hii wameingia mjini Bariadi je, ni kweli hatuwezi au ndiyo kusema bado hatujaamua kufanya hivyo? Naomba kwenye…