Radio Tadio

Nishati

6 Juni 2025, 3:27 um

RC Katavi awasihi bodaboda kutunza amani

Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mwanamvua Hoza Mrindoko akitoa neno kwa bodaboda. Picha na Samwel Mbugi “Nyie ni nguzo kubwa ya usalama katika mkoa wetu” Na Samwel Mbugi Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mwanamvua Hoza Mrindoko amewataka bodaboda mkoa wa…

22 Mei 2025, 2:02 um

Wananchi Maswa watoa kilio kwa DC  Anney

Migogoro mingi ya Wanandoa inasababishwa na kutokuandika Wosia inapotokea mume amefariki Dunia ndugu wa mwanaume wanakuja juu na kumdhurumu mali mjane aliyeachwa na marehemu wakati mali hizo wamezitafuta wawili hao. ” Dc Dkt Vicent Anney “ Wananchi  wa  kata  za …

6 Mei 2025, 1:58 um

Uzalishaji wa zao la pamba umeendelea kuimarika nchini

”Zao la pamba umeendelea kuimarika nchini, ambapo hadi sasa umeongezeka kutoka tani 180,000 hadi kufikia tani 400,000” Na Sebastian Mnakaya Serikali imesema uzalishaji wa zao la pamba umeendelea kuimarika nchini, ambapo hadi sasa umeongezeka kutoka tani 180,000 hadi kufikia tani…

14 Aprili 2025, 13:49

UNIDO yahamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia

Mkuu wa Mkoa Kigoma Thobias Andengenye amesema Serikali itaendelea kushirikiana na wadau wa maendeleo katika kuhamasisha jamii kutumia nishati safi ya kupikia. Na Josephine Kiravu Wadau mkoani kigoma wametakiwa kuendelea kutoa elimu kwa jamii kuhusu matumizi ya nishati safi ya…

2 Aprili 2025, 8:04 um

Fisi wavamia na kuua kondoo wa mahari Bariadi

“Hivi hatuwezi kumaliza kabisa suala la fisi mkoani hapa? Siku chache zilizopita matukio kama haya yaliripotiwa katika wilaya za Itilima na Maswa leo hii wameingia mjini Bariadi je, ni kweli hatuwezi au ndiyo kusema bado hatujaamua kufanya hivyo? Naomba kwenye…

27 Machi 2025, 9:54 mu

Mbunge Kishimba ashauri mazao mengine kuongezwa KACU

Mbunge wa Jimbo la Kahama mjini Jumanne Kishimba akiwa anazungumza katika mkutano mkuu wa 29 wa KACU. (Picha na Sebastian Mnakaya) ”Wakulima wengi walioko kwenye chama kikuu cha ushirika wilaya ya Kahama (KACU) ni wa pamba na tumbaku, je, wanaolima…

24 Machi 2025, 3:58 um

Wakulima wa tumbaku, pamba watakiwa kusimamia ubora

Wakulima wa zao la pamba na tumbaku wametakiwa kusimamia ubora wa mazao hayo kuanzia shambani hadi katika masoko. Sebastian Mnakaya Wakulima wa zao la pamba na tumbaku wilayani Kahama mkoani Shinyanga wametakiwa kusimamia vyema ubora wa mazao yao kuanzia katika…