Radio Tadio

Nishati

8 December 2022, 5:33 pm

Bei za mafuta zapokelewa Kwa mikono miwili Katavi

MPANDA Madereva wa vyombo vya moto Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda Mkoani katavi wametoa maoni yao juu ya mwenendo wa kushuka na kupanda kwa bei ya mafuta ya petrol na dizel. Wakizungumza na Mpanda Radio fm kwa nyakati tofauti madereva…

1 December 2022, 8:11 am

Wakazi wa Silwa walalamika kukosa huduma ya Umeme

Na; Victor Chigwada .  Pamoja na jitihada za kusambaza umeme zinazo endelea nchini katika maeneo yaliyopo nje ya miji lakini bado baadhi ya maeneo yameendelea kuwa na kilio cha huduma hiyo. Wakizungumza na taswira ya habari baadhi ya wananchi wa…

1 December 2022, 7:29 am

Serikali yasaini mkataba wa uzalishaji na ugawanaji mapato

Na; Mariam Kasawa. Baada ya miaka 12 Serikali ya Tanzania imesaini mkataba wa uzalishaji na ugawanaji mapato (PSA) kitalu cha RUVUMA – MTWARA. Mkataba huu unaweka utaratibu wa serikali kupata zaidi. Kwa mara ya kwanza Serikali inapata kwenye Mapato ghafi…

11 November 2022, 5:06 am

EWURA kutatua malalamiko huduma za nishati na maji

MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA),  Mhandisi Modeatus Lumato,amesema kuwa wamejipanga kupokea na kutatua malalamiko ya watumiaji wa Huduma za Nishati na Maji ili wananchi wapate thamani halisi ya huduma zinazodhibitiwa Hayo ameyasema …

18 October 2022, 6:10 am

Wakazi wa Miganga waiomba serikali kuendelea kusambaza umeme

Na; Benard Filbert. Wakazi wa kijiji cha Miganga Kata ya Idifu wilaya ya Chamwino wameiomba serikal kuendelea kusambaza nishati ya umeme katika kijiji hicho hali itakayosaidia kukua kwa uchumi. Ombi hilo wamelitoa wakati wakizungumza na Taswira ya habari kuhusu uwepo…

19 September 2022, 4:25 pm

Umeme Kigoma: Serikali kuokoa Bil 22.4

Serikali sasa inatarajia kuokoa shilingi Bilioni 22.4 kwa mwaka ambazo zilikuwa zikigharamia ununuaji wa mafuta kuendeshea mtambo wa Jenereta na matengenezo yake, ili kupata umeme uliokuwa ukitumika Mkoa wa Kigoma. Uokoaji wa kiasi hicho cha pesa unafuatia Mkoa huo kuunganishwa…

25 August 2022, 7:33 am

KAMPUNI YA MAXCOAL KUZALISHA MAFUTA NA GAS MKOANI NJOMBE

Kampuni ya uchumbiji madini ya makaa ya mawe maximum Energy and Minerals Limited (MAXCOAL)  iliyopo wilayani Ludewa mkoani Njombe imeadhimia kuanzisha uzalishaji gas na mafuta kwa kutumia makaa ya mawe pindi watakapokamilisha taratibu za kiserikali.   Akizungumza hayo mwenyekiti wa…

11 August 2022, 7:35 am

Ujenzi Bwawa la kufua umeme la Nyerere bado asilimia 33

Waziri wa Nishati, January Makamba amesema ujenzi wa Bwawa la kufua umeme la Mwalimu Nyerere umefikia asilimia 67 na kubaki asilimia 33 na kusema kazi iliyokuwa ikifanyika kwa miaka miwili na nusu, hivi sasa imefanyika ndani ya mwaka mmoja. Makamba…