Nishati
6 June 2024, 10:21 am
Wakulima wa zao la Pamba toeni ushirikiano bodi mpya KACU
tutaendelea kufanya kazi kwa ushirikiano ili kukiinua chama kikuu cha KACU pamoja na kutafuta fursa mbalimbali zitakazosaidia kuwainua wakulima Na Leokadia Andrew Wakulima wa zao la Pamba wilayani Kahama Mkoani Shinyanga wametakiwa kutoa ushirikiano kwa bodi mpya iliyochaguliwa ya chama…
2 June 2024, 8:44 pm
Emanuel Nyambi mwenyekiti mpya chama kikuu Cha ushirika Kahama (KACU)
wajumbe katika mkutano huo waliopiga kura jumla ni 282 kutoka vyama mbalimbali vya msingi kutoka katika halmashauri tatu za wilaya ya Kahama Na Leokadia Andrew Viongozi waliochaguliwa na wajumbe wa chama kikuu cha Ushirika (KACU) wilayani Kahama mkoani Shinyanga wametakiwa…
27 May 2024, 11:11 pm
Wananchi watakiwa kuhifadhi chakula
Wafanyabiashara wengi wamekuwa wakinunua mazao kwa bei ya chini hali inayosababisha wakulima kuuza chakula na kusahau kukihifadhi ya ajili ya msimu ujao. na Sebastian Mnakaya Wananchi wa halmashauri ya ushetu wilayani kahama mkoani Shinyanga wametakiwa kuendelea kuhifadhi chakula ili kuepuka…
31 January 2024, 7:09 pm
Serikali: Hali ya umeme nchini yaanza kuimarika
“Yalikuwa ni maelekezo ya mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuhakikisha umeme unaimarika katika kipindi cha miezi sita” Na. Anthony Masai Serikali imesema hali ya upatikanaji wa nishati ya umeme nchini inaendelea kuimarika licha ya kuwepo kwa upungufu…
18 January 2024, 17:03
Mkuu wa wilaya Kasulu ainyoshea kidole Tanesco
Mkuu wa wilaya ya Kasulu Mkoani Kigoma Kanal Isaac Mwakisu amemtaka meneja wa tanesco kuhakikisha wilaya inakuwa na umeme wa uhakika kutokana na ongezeko la viwanda vidogo vodogo ambavyo haviwezi kuendesha shughuli zake bila nishati hiyo. Kanal Mwakisu amesema hayo…
20 December 2023, 15:16
Chinuguli waomba kuongezewa Nguzo za umeme
Licha ya shughuli za ufungwaji wa nyaya za umeme kuendelea katika kijiji hicho lakini huduma haionekani kuwa rafiki kwa wananchi. Na Victor Chigwada . Wananchi wa Kata ya Chinuguli Wilaya ya Chamwino wameiomba Serikali kuwaongzea idadi ya nguzo za…
18 December 2023, 3:18 pm
Ewura yaahidi huduma bora za maji ,umeme, petroli na gesi asilia
Mamlaka ya udhibiti wa huduma za nishati na maji Ewura imesema inahakikisha mtumiaji anapata huduma bora za maji ,umeme, petroli na gesi asilia. Na Lilian Vincent – KATAVI Mamlaka ya udhibiti wa huduma za nishati na maji Ewura imesema moja…
8 December 2023, 4:39 pm
Tatizo la umeme Ngorongoro
Wananchi wilayani Ngorongoro wamekuwa wakiitaja kero ya kukatika kwa umeme mara kwa mara kuwa ni moja ya kero kubwa kwao kwani wamekuwa wakiofia kuungua kwa mali zao zinazotumia umeme na hata kushindwa kufanya kazi zao za kila siku hususani wale…
5 December 2023, 12:49
Kituo cha kupooza umeme Ifakara chawashwa, wilaya tatu kunufaika
Wilaya tatu za mkoa wa Morogoro zimenufaika na umeme wa vijijini- REA, baada ya kituo cha kupozea umeme kilichopo Ifakara kata ya Kibaoni kuwashwa na kuanza kazi. Na; Isidory Mtunda Wilaya za Kilombero, Malinyi na Ulanga mkoani Morogoro kunufaika na…
13 November 2023, 17:46
Wawili wakamatwa utoroshaji madini Mbeya
Na mwandishi wetu Watu wawili wa familia moja wamekamatwa na kikosi kazi cha madini kwa kushirikiana na maafisa madini mkoa wa kimadini wa Mbeya wakitorosha vipande 28 vya dhahabu iliyochomwa yenye uzito kilogramu 1.08373 yenye thamani ya shilingi mil. 142.229.…