Radio Tadio

Nishati

9 August 2023, 18:28

EWURA yatoa leseni kwa zaidi ya mafundi umeme 5000

EWURA imeendelea kuwakumbusha Mafundi Umeme kufanya kazi kwa mujibu wa kanuni za Umeme hususani kanuni namba 15, 16 na 17. Na Mindi Joseph. Zaidi ya mafundi umeme 5000 wamepatiwa leseni na Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji…

9 August 2023, 6:52 am

Kizungumkuti cha Nishati ya Mafuta

MPANDA Baadhi ya Wakazi wa manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi wakiwemo madereva wa vyombo vya moto wamaiomba serikali kuingilia kati hali ya upatikanaji wa mafuta Pamoja na bei ili kuleta unafuu wa maisha kwa mwananchi. Maombi hayo wameyatoa wakati wakizungumza…

25 July 2023, 16:30

Wamiliki wa mafuta waahidi kutoa ushirikiano wa kusambaza mafuta

Wamiliki hao wameiomba serikali iimarishe upatikanaji wa dola ili zisaidie katika biashara hiyo. Na Fred Cheti. Wamiliki wa maghala ya mafuta nchini wameihakikishia Serikali kuhusu upatikanaji wa mafuta wakisema wana  petroli na dizeli za kutosha  na wapo tayari kutoa ushirikiano…

24 July 2023, 10:14 am

Upatikanaji nishati ya mafuta Mpanda bado kizungumkuti

MPANDA Kufatia kuwepo kwa mwendelezo wa changamoto ya uhaba wa nishati ya mafuta wananchi halmashauri ya manispaa ya Mpanda wameiomba serikali kutatua changamoto hiyo. Wakizungumza na Mpanda Redio FM kwa nyakati tofauti wamesema kuwa serikali inapaswa kutafuta njia ya kutatua…

15 July 2023, 6:51 pm

Wananchi wacharuka kuuziwa nguzo za umeme

Ukubwa wa gharama za umeme katika maeneo mbalimbali ya vijijini ni moja ya changamoto inayowanyima fursa wananchi kupata huduma ya umeme. Na Nicolaus Lyankando- Geita Wananchi wanaoishi maeneo ya vijijini katika halimashauri ya wilaya ya mbogwe mkoani Geita wamelalamikia gharama…

10 July 2023, 17:32

STAMICO kuanza kuzalisha nishati mbadala

Mkurugenzi  Mtendaji wa shirika hilo Bwana Venance Mwase akizungumza na vyombo vya habari .Picha na Fred Cheti. Matumizi ya mkaa na kuni yanatajwa kuchangia uchafuzi na uharibifu wa mazingira. Na Fred Cheti. Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) linatarajia kuanza…

6 July 2023, 6:21 pm

Wananchi wazima jaribio la wizi wa nyaya za umeme

Kundi la watu zaidi ya 20 limefurushwa kwa madai ya kutaka kuiba nyaya za umeme zilizokuwa zimehifadhiwa katika shule ya sekondari. Na Mrisho Sadick: Wakazi wa kijiji cha Kaduda Kata ya Katoro wilayani Geita wamezima jaribio la wizi wa nyaya…

5 July 2023, 17:08

Wachimbaji wadogo washauriwa kutumia mitambo mipya

Moja ya teknlojia ambayo inatajwa kuwa bora na rahisi mabayo wachimbbaji wadogo wa madini wanaweza kuitumia kuchenjulia dhahabu ni CIACIP. Na Fred Cheti. Wachimbaji wadogo wa madini aina ya dhahabu wameshauriwa kutumia mitambo mipya kwa ajili ya kuchenjulia dhahabu na…

3 July 2023, 17:37

REA yafikisha umeme vijiji vyote 87 Kongwa

Mradi wa kusambaza umeme katika Maeneo ya pembezoni mwa miji awamu ya pili wilayani kongwa umegharimu Bilion Moja Milion miatano themanini na tatu laki nane tisini na tisa elfu mia nne sabini na nane na senti sita 1,583,899,478.06 Na Mindi…