Radio Tadio

Nishati

31 January 2024, 7:09 pm

Serikali: Hali ya umeme nchini yaanza kuimarika

“Yalikuwa ni maelekezo ya mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuhakikisha umeme unaimarika katika kipindi cha miezi sita” Na. Anthony Masai Serikali imesema hali ya upatikanaji wa nishati ya umeme nchini inaendelea kuimarika licha ya kuwepo kwa upungufu…

18 January 2024, 17:03

Mkuu wa wilaya Kasulu ainyoshea kidole Tanesco

Mkuu wa wilaya ya Kasulu Mkoani Kigoma Kanal Isaac Mwakisu amemtaka meneja wa tanesco kuhakikisha wilaya inakuwa na umeme wa uhakika kutokana na ongezeko la viwanda vidogo vodogo ambavyo haviwezi kuendesha shughuli zake bila nishati hiyo. Kanal Mwakisu amesema hayo…

20 December 2023, 3:16 pm

Chinuguli waomba kuongezewa Nguzo za umeme

Licha ya shughuli za ufungwaji wa nyaya za umeme kuendelea katika kijiji hicho  lakini huduma haionekani kuwa rafiki kwa wananchi. Na Victor Chigwada .                                      Wananchi wa Kata ya Chinuguli Wilaya ya Chamwino wameiomba Serikali kuwaongzea idadi ya nguzo za…

8 December 2023, 4:39 pm

Tatizo la umeme Ngorongoro

Wananchi wilayani Ngorongoro wamekuwa wakiitaja kero ya kukatika kwa umeme mara kwa mara kuwa ni moja ya kero kubwa kwao kwani wamekuwa wakiofia kuungua kwa mali zao zinazotumia umeme na hata kushindwa kufanya kazi zao za kila siku hususani wale…

8 December 2023, 1:00 pm

Vijiji 266 vyanufaika na mradi wa REA

Zaidi ya vijiji 266 kati ya vijiji 440 vimenufaika na mradi wa Nishati vijiji Rea katika mkoani Manyara na ifikapo mwaka 2024 vijiji 174 vitafikiwa na mradi huo. Na mwandishi wetu Mzidalifa Zaid. Zaidi ya vijiji 266 kati ya vijiji…

13 November 2023, 17:46

Wawili wakamatwa utoroshaji madini Mbeya

Na mwandishi wetu Watu wawili wa familia moja wamekamatwa na kikosi kazi cha madini kwa kushirikiana na maafisa madini mkoa wa kimadini wa Mbeya wakitorosha vipande 28 vya dhahabu iliyochomwa yenye uzito kilogramu 1.08373 yenye thamani ya shilingi mil. 142.229.…

16 October 2023, 4:40 pm

Wananchi Dodoma waomba elimu uzalishaji umeme wa jua

Na Alfred Bulahya. Wananchi Mkoani Dodoma wameiomba serikali na wadau wa masuala ya kilimo nchini kuanza kutoa elimu ya namna ya kutumia teknolojia zinazozalisha umeme wa jua ili kuongeza tija zaidi katika kilimo cha umwagiliaji. Wananchi hao wametoa maombi hayo…