Radio Tadio

Nishati

3 October 2023, 11:04 am

Vijiji 75 wilaya ya Geita vyapatiwa umeme

Dhamira ya serikali ya awamu ya sita nikufikisha umeme katika vijiji zaidi ya elfu 12 hapa nchini imeendelea kuonekana baada ya serikali kuendelea kufikisha huduma hiyo vijijini. Na Mrisho Sadick: Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imefikisha nishati ya umeme kwenye…

30 September 2023, 20:01

Kuna hatari gani kulala na petroli au gesi?

Na Marko Msafili/Mafinga Jamii imeaswa kuacha tabia ya kulala na Viminika ikiwemo mafuta au Vitu vinavyotumia nishati hiyo pamoja na kutambua namna sahihi ya kusimamia katika maeneo wanayoishi.Rai hiyo imetolewa na Mkaguzi Msaidizi wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Wilayani…

26 September 2023, 11:41

Waziri Ndalichako agawa mitungi 400 ya gesi Kasulu

Uamzi wa serikali kugawa mitungi ya gesi kwa wananchi ni miongoni mwa mikakati ya kukabiliana na uharibifu wa mazingira kwa kukata kuni za kupikia. Na, Hagai Ruyagila Jumla ya mitungi ya gesi 400 yenye thamani ya shilingi milioni 30 imetolewa…

24 September 2023, 6:08 pm

REA yafanikisha utekelezaji mradi wa Umeme Kilolo

Mkurugenzi waTeknolojia za Nishati Jadidifu na Nishati Mbadala, Wakala wa Nishati Vijijini – REA, Mhandisi Advera Mwijage umesema atahakikisha washirikiana na Sekta binafsi katika kuhakikisha upatikanaji wa huduma bora na nishati ya uhakika vijijini. Mhandisi Mwijage ameyasema hayo baada ya…

23 September 2023, 1:44 pm

EWURA kutokomeza mafuta ya kupimwa kwa chupa vijijini

Changamoto ya wauza mafuta ya petroli na dizeli vijijini kuuza kwenye chuma imekuwa kubwa kiasi cha EWURA kulitafutia ufumbuzi. Na Zubeda Handrish- Geita Katika kuhakikisha wafanyabishara na wasafirishaji vijijini wanaondokana na mafuta ya kupima kwenye chupa (makopo), mamlaka ya usimamizi…

6 September 2023, 10:10 am

NIshati ya Mafuta Yawa Kikwazo cha Uchumi

MPANDA Nishati ya mafuta ya petrol imetajwa kuwa ni Moja ya sababu inayorudisha nyuma uchumi katika halmashauri ya manispaa ya mpanda mkoani hapa. Wakizungumza na Mpanda redio FM watumiaji wa vyombo vya moto wamesema kuwa wamekuwa wakitumia muda Mwingi kupanga…

9 August 2023, 6:28 pm

EWURA yatoa leseni kwa zaidi ya mafundi umeme 5000

EWURA imeendelea kuwakumbusha Mafundi Umeme kufanya kazi kwa mujibu wa kanuni za Umeme hususani kanuni namba 15, 16 na 17. Na Mindi Joseph. Zaidi ya mafundi umeme 5000 wamepatiwa leseni na Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji…

9 August 2023, 6:52 am

Kizungumkuti cha Nishati ya Mafuta

MPANDA Baadhi ya Wakazi wa manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi wakiwemo madereva wa vyombo vya moto wamaiomba serikali kuingilia kati hali ya upatikanaji wa mafuta Pamoja na bei ili kuleta unafuu wa maisha kwa mwananchi. Maombi hayo wameyatoa wakati wakizungumza…