Radio Tadio

Nishati

29 April 2021, 5:42 am

Miundombinu hafifu sera ya Elimu 2014

Na; Mariam Matundu. Wakati taasisi ya haki elimu ikitarajia kuzindua ripoti ya uchambuzi wa kina wa sera ya elimu leo April 29 ,miundombinu hafifu imetajwa kuwa kikwazo katika utekelezaji wa sera ya elimu ya mwaka 2014. Mwandishi wetu Mariam Matundu…

27 April 2021, 10:00 am

Changamoto ya Madawati shule ya sekondary Wotta yatatuliwa

Na; Seleman Kodima Wakazi wa kata ya Wotta  wilayani Mpwapwa wameishukuru  Dodoma fm redio kwa Juhudi ya  kubwa walizofanikisha kuripoti tatizo la uhaba wa madawati ktika shule ya sekondari  na hatimaye Changamoto hiyo kufanyiwa kazi . Hayo yamejiri baada ya…

26 April 2021, 6:28 am

Wakazi Handali walalamikia kukosa mtendaji

Na, Victor Chigwada. Wananchi wa Kijiji cha Handali Wilaya ya Chamwino Mkoani Dodoma wametoa malalamiko yao ya kutokuwa na mtendaji hali inayochangia kurudisha nyuma maendeleo yao. Baadhi ya wananchi hao wakizungumza na taswira ya habari wamesema kuwa kukosekana kwa mtendaji…

20 April 2021, 12:18 pm

Sekondari ya Wotta kutatuliwa kero ya madawati

Na; Selemani Kodima Changamoto ya upungufu wa madawati katika shule ya Sekondari Wotta Wilayani Mpwapwa huenda ikapatiwa ufumbuzi baada ya kupatikana fedha za mfuko wa jimbo kiasi cha shilingi milioni moja na elfu thelathini na mbili. Baadhi ya wananachi wakizungumza…