Jamii FM
Jamii FM
13 August 2026, 19:05
Waziri Judith Kapinga amewataka watumishi wanaosimamia biashara kutoa mrejesho wa haraka kwa wafanyabiashara, huku Jumuia ya Wafanyabiashara Mtwara ikiwasilisha changamoto za kodi, tozo na ombi la viwanda pamoja na kivuko cha Kilambo. Na Musa Mtepa Serikali imesema watumishi na taasisi…
12 August 2026, 16:51
Serikali imetumia zaidi ya Sh milioni 560.52 kujenga Shule ya Sekondari Chikota, Halmashauri ya Mji Nanyamba, Mtwara, huku Serikali ikiahidi kushughulikia changamoto zinazoikabili shule hiyo. Na Musa Mtepa Serikali imewezesha ujenzi wa Shule ya Sekondari Chikota katika Halmashauri ya Mji…
12 August 2026, 00:12
Waziri wa Viwanda na Biashara, Judith Kapinga, ameweka jiwe la msingi katika Shule ya Msingi Chilimba, Masasi, na kuwataka wananchi kuendelea kuiamini Serikali katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo Na Musa Mtepa Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Judith Kapinga,…
10 August 2026, 23:57
Waziri wa Viwanda na Biashara Judith Kapinga amezitaka CAMARTEC na WRRB kuwawezesha wananchi kupata mashine za kuchakata korosho, kuongeza thamani ya zao hilo, ajira na kipato. Na Musa Mtepa Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Judith Kapinga, amezitaka kituo cha…
7 August 2026, 18:47
Na Mwanaidi Kopakopa Familia yenye mawasiliano mazuri na maamuzi ya pamoja huwa na nafasi kubwa ya kujenga maisha yenye utulivu na mafanikio. Miongoni mwa maamuzi muhimu yanayohitaji ushirikiano wa wanandoa ni suala la uzazi wa mpango. Wanandoa wanaposhiriki pamoja katika…
23 July 2026, 14:29
Waziri wa Nishati Deogratius Ndejembi amewasha umeme katika Shule ya Sekondari Mtiniko, Nanyamba, na kusema Serikali imewekeza zaidi ya Shilingi bilioni 203 kupeleka umeme katika vijiji na vitongoji vya Mkoa wa Mtwara Na Musa Mtepa Waziri wa Nishati, Mhe. Deogratius…
23 July 2026, 12:54
Wananchi wa Newala wameishukuru Serikali kwa kuzindua laini ya umeme wa kV 33 kutoka Masasi hadi Newala, wakisema itaimarisha shughuli za kiuchumi, kuongeza uzalishaji wa wajasiriamali na kuboresha huduma zinazotegemea umeme wa uhakika Na Musa Mtepa Wananchi wa Wilaya ya…
21 July 2026, 21:30
Waziri wa Nishati Deogratius Ndejembi amezindua laini ya umeme ya kilovoti 33 kutoka Masasi hadi Newala, mradi utakaoboreshwa upatikanaji wa umeme wa uhakika na kuchochea shughuli za kiuchumi wilayani humo Na Musa Mtepa Waziri wa Nishati, Deogratius Ndejembi, leo Julai…
18 July 2026, 10:55
TARI Naliendele imetoa mafunzo kwa watu wenye ulemavu kuhusu kilimo bora cha korosho, ikiwajengea uwezo wa kutumia mbegu bora na kudhibiti magonjwa ili kuongeza uzalishaji na tija. Na Musa Mtepa Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI), Kituo cha Naliendele…
13 July 2026, 17:26
Wanachama wa MFICO’S Msangamkuu wameiomba serikali kukamilisha vifaa vya boti ya mkopo yenye thamani ya zaidi ya Sh milioni 102, wakisema upungufu wa vifaa umewazuia kuanza uvuvi na kurejesha mkopo Na Musa Mtepa Wanachama wa Chama cha ushirika cha msingi…
Who we are
JAMII FM is a Community Radio that was launched in September 2016 for the purpose of giving community members particularly from rural areas access to information and means of communication. The programmes are basically focused on issues that directly or indirectly reflect community livelihood including people with special needs.
Through Jamii FM Radio, educational and developmental information is disseminated and exchanged; important local issues are aired; a free market place of ideas and opinions is opened up and people are given the opportunity to express themselves. Broad participation by community members is always encouraged in Program production.
Vision
The VISION of Jamii FM is to see the community of Lindi and Mtwara Regions particularly from rural areas have access to information and increased capacity to play a meaningful role for their own development through media.
Mission
The MISSION is to enable local communities to use media as a tool for enhancing participatory communication in order to achieve sustainable rural development.LocationJAMII FM Radio Station is located at Naliendele area 9km from Mtwara Town along Mtwara-Newala road. The station is opposite to Naliendele Agriculture Research Institute.
Coverage:
Jamii Fm Radio owns its 60 metres transmission tower that enables to reach the huge population from both Mtwara and Lindi regions, from Mtwara Municipal up to Nanyamba, Tandahimba, Newala, Nachingwea, Lindi and some parts along the boarder with neighbouring country-Mozambique.