Recent posts
7 September 2026, 18:29
Minada ya korosho 2026/2027 kuanza Oktoba 19
Bodi ya Korosho Tanzania imetangaza kuwa minada rasmi ya mauzo ya korosho kwa msimu wa 2026/2027 itaanza Oktoba 19, huku maandalizi ya msimu huo yakiendelea Na Musa Mtepa Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Korosho Tanzania (CBT), Frances Alfred, ametangaza kuwa…
4 September 2026, 16:46
Mtwara DC yavuka lengo la ukusanyaji mapato kwa asilimia 12
Halmashauri ya Mtwara Vijijini imevuka lengo la mapato kwa mwaka 2025/2026, ikikusanya shilingi bilioni 7.5 dhidi ya bilioni 6.7, sawa na ongezeko la zaidi ya asilimia 12 Na Musa Mtepa Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara imefanikiwa kuvuka lengo la ukusanyaji…
4 September 2026, 14:19
Maagizo ya Mwenyekiti halmashauri Mtwara Vijijini kwa DED
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mtwara Vijijini, Hassan Salamata, amewataka viongozi kuhakikisha madiwani wanapewa taarifa kuhusu miradi na shughuli za Serikali zinazotekelezwa katika kata zao. Na Musa Mtepa Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mtwara Vijijini, Ndugu Hassan Salamata, amewataka wakuu wa Idara…
3 September 2026, 08:46
Msimu wa nyangumi fursa ya utalii Mtwara
Mkuu wa Wilaya ya Mtwara, Abdallah Mwaipaya, amewataka wananchi kushiriki Tamasha la Nyangumi, likilenga kukuza utalii wa baharini, uhifadhi wa mazingira na fursa za kiuchumi kwa jamii Na Grace Hamisi Mkuu wa Wilaya ya Mtwara, Abdallah Mwaipaya, kwa niaba ya…
27 August 2026, 20:17
TARI yaongeza utafiti kukabili visumbufu vya zao la korosho
TARI inaendelea na utafiti wa magonjwa na visumbufu vya korosho, ikiwemo mnyauko Fusari, huku ikitumia teknolojia ya drones na AI kuboresha udhibiti wa changamoto hizo na kuongeza uzalishaji Na Musa Mtepa Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI) imeeleza kuwa…
27 August 2026, 19:53
Serikali yataka Tanzania kuwa kinara wa uzalishaji wa Korosho Duniani
Serikali imewataka wadau wa korosho kuweka mikakati ya kuongeza uzalishaji na tija ili Tanzania iwe kinara duniani, huku ikisisitiza kupunguza gharama za uzalishaji na kuhakikisha wakulima wanalipwa kwa usahihi na kwa wakati Na Musa Mtepa Serikali imewataka wadau wa zao…
15 August 2026, 16:38
Msangamkuu waishukuru serikali kwa kituo cha afya
Wananchi wa Kata ya Msangamkuu wameishukuru Serikali kwa ujenzi wa Kituo cha Afya cha Sh milioni 252.1, kilichopunguza adha na gharama za kusafiri umbali mrefu kufuata huduma za matibabu Na Musa Mtepa Wananchi wa Kata ya Msangamkuu, Halmashauri ya Wilaya…
14 August 2026, 16:30
TARI Naliendele yaimarisha utafiti kwa teknolojia mpya
TARI Naliendele imezindua vifaa vya kisasa vya utafiti na miundombinu vitakavyoongeza ufanisi, kuharakisha tafiti na kuinua tija katika uzalishaji na kuongeza thamani ya zao la korosho nchini Na Musa Mtepa Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI), Kituo cha Naliendele,…
14 August 2026, 11:52
Bi Ummy alalamikia mgogoro wa umiliki wa nyumba
Ummy Mohamedi Fadhili, mkazi wa Ding’wida, Mtwara, amelalamikia kunyimwa nyumba aliyodai ilinunuliwa kwa fedha alizopata baada ya kuuza nyumba yake ya Tandahimba, akisema mzazi mwenzake anadai ni mali ya mtoto wao Na Mwanahamisi Chikambu Mwanamke mmoja, Ummy Mohamedi Fadhili, mkazi…
14 August 2026, 08:39
Wananchi wa Masugulu waishukuru serikali mradi wa maji
Wananchi wa Masugulu wameishukuru serikali kwa mradi wa maji wa Mto Ruvuma wenye thamani ya Sh bilioni 43.2, uliotekelezwa kwa asilimia 96, wakiamini utaondoa tatizo la maji na hatari ya mashambulizi ya mamba Na Musa Mtepa Wananchi wa Kijiji na…