Recent posts
1 December 2020, 11:59 am
Kampeni ya kugawa Taulo za kike kwa Wanafunzi Mtwara yaanza
Moja kati ya changamoto kubwa inayowakumba watoto wakike walioko shuleni hadi kupelekea kujiingiza katika mahusiano wakiwa na umri mdogo ni suala la upatikanaji wa taulo za kike, hii imekuwa changamoto kubwa kwa mabinti wengi. Kwa kulitambua hilo Mwanaidi Simba Kutoka…
26 November 2020, 08:27 am
Wanufaika na TASAF Lindi waipongeza serikali
Wanufaika wa Mpango wa kunusuru kaya maskini (TASAF) mtaa wa Jangwani Halmashauri ya manispaa ya Lindi, wameeleza namna walivyonufaika na mradi, wameleeza maisha ya awali na ya sasa na namna mradi ulivyosaidia familia zao. Kwa upande wake Afisa mtendaji wa…
22 November 2020, 13:45 pm
IGP Sirro awahakikishia usalama wana Mtwara
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania IGP Simon Sirro amesema Jeshi la Polisi litachukua muda mfupi kukabiliana na uhalifu unaoendelea katika Mkoa wa Mtwara, kama ilivyofanya katika kukabiliana na mauaji ya raia katika Wilaya za Kibiti, Rufiji na Mkuranga mkoani…
10 November 2020, 18:27 pm
Athari ya uzazi wa mpango kwa mabinti wadogo
Hujambo, karibu kusikiliza kipindi Maalum kinachoangazia Athari za utumiaji wa Dawa za uzazi wa mpango kwa mabinti wenye umri mdogo ambao wanatumia sindano na vidonge ili kujikinga na ujauzito bila kujua athari zake. Hapa utawasikia mabinti, wazazi na Daktari Deogratius…
10 November 2020, 17:49 pm
TADIO yawahasa Wanahabari kutoandika Habari za uchochezi
Waandishi wa habari hususan wa redio za kijamii Tanzania wametakiwa kuandika habari za kudumisha Amani nchini na kuacha kupendelea kuandika habari za uchochezi na zenye kuleta taaruki. Wito huo umetolewa leo na Mwezeshaji wa mafunzo ya kujenga Amani hasa baada…
10 November 2020, 05:53 am
Ukataji wa miti hovyo unavyoweza kusababisha kukausha vyanzo vya maji.
Wapo wanaokata miti kwa shughuli mbalimbali kama vile kutengeneza mkaa, kujengea nyumba, kuchana mbao huku athari zake zikiwa ni pamoja na kukausha vyanzo vya maji. Hapa utawasikia wananchi na Meneja wa wakala wa misitu wilaya ya Mtwara mkoani Mtwara Nchini…
8 November 2020, 14:43 pm
Athari za ulaji wa Udongo kwa Wanawake wajawazito
Wanawake wajawazito wanautamaduni wa kula udongo bila kujua athari zake, hapa utawasikia wanawake na Daktari akielezea athari hizo kwa mama na mtoto aliye tumboni. Karibu kwenye kipindi maalum, Muandaaji na msimulizi wako ni Karim Faida wa jamii fm radio Mtwara.
2 November 2020, 13:07 pm
Wanakijiji waomba umeme na maji.
Wananchi wa kijiji cha maili kumi kata ya Mbawala Halmashauri ya wilaya ya Mtwara wameomba kupatiwa huduma ya maji na nishati ya umeme kwenye kijiji chao, hali ambayo imekuwa ikiwachelewesha maendeleo na kudumaza hali ya kijiji. Nishati ya umeme imepita…
22 October 2020, 09:10 am
TADIO yaziwezesha radio za Jamii kuweka maudhui mtandaoni
Mtandao wa radio za jamii nchini Tanzania (TADIO) imeziwezesha radio wanachama kurusha maudhui ya matangazo ya moja kwa moja kupitia mtandao, utakaoweza kuwafikia wasikilizaji wengi ndani ya nchi na nje ya mipaka ya Tanzania. Mafunzo ya siku mbili yakuziwezesha radio…
19 October 2020, 11:10 am
Wanafunzi wa Mtwara vijijini waomba kupewa fedha za taulo za kike
Baadhi ya Wanafunzi wa kike mkoani mtwara wamewataka wazazi kutenga bajeti kwa ajili kununua taulo za kike, ikiwa ni moja ya njia ya kutokomeza mimba za utotoni. Wakizungumza na jamii fm radio wanafunzi hao wamesema kuwa ukosefu wa taulo za…