Jamii FM
Jamii FM
5 June 2026, 10:49
Na Mwanahamisi Chikambu, Mwanaidi kopakopa Katika miaka ya hivi karibuni, kumekuwa na mwamko mkubwa wa kutetea haki za binadamu, lakini bado kuna kundi linalosahaulika gizani ni wafanyakazi wa kazi za ndani. Katika mazingira ambayo kwa muda mrefu yamejaa unyanyasaji na…
3 June 2026, 07:53
Wadau wa Bandari Mtwara na Chama cha Mawakala wa Forodha Tanzania (TASACS) wamepongeza kuanzishwa kwa Tozo ya Maendeleo ya Miundombinu ya Bandari (PID), wakisema itaboresha huduma, kupunguza muda wa mizigo bandarini na kuongeza ufanisi wa biashara. Na Gregory Millanzi Chama…
2 June 2026, 11:21
Mtwara imekuwa mwenyeji wa mafunzo ya kimataifa ya korosho yaliyowakutanisha washiriki kutoka zaidi ya nchi 11 za Afrika kujadili mbinu za kuongeza uzalishaji, thamani na masoko ya zao la korosho kwa manufaa ya wakulima na wadau wa sekta hiyo Na…
25 May 2026, 10:42
Bodi ya Korosho Tanzania imesema usambazaji wa pembejeo za ruzuku kwa msimu wa 2026/2027 umeanza katika maeneo yanayowahi kuchipua mikorosho, huku wakulima wakitakiwa kutumia utaratibu ule ule wa usajili kupitia AMCOS Na Musa Mtepa Bodi ya Korosho Tanzania (CBT) imesema…
23 May 2026, 11:01
Mkuu wa Wilaya ya Mtwara, Abdala Mwaipaya, ameungana na wananchi kufanya usafi katika Makaburi ya Msafa na kuhimiza jamii kuendeleza usafi wa mazingira ili kuimarisha usalama na afya ya wananchi Na Musa Mtepa Mkuu wa Wilaya ya Mtwara, Ndugu Abdala…
22 May 2026, 14:00
TAMCU yauza zaidi ya tani 994 za ufuta katika mnada wa kwanza Tunduru kwa wastani wa shilingi 2,477 kwa kilo, huku viongozi wakisisitiza malipo ya wakulima kufanyika kwa wakati Na Musa Mtepa Chama Kikuu cha Ushirika wa Mazao na Masoko…
20 May 2026, 15:48
TAKUKURU Mkoa wa Mtwara imewezesha kurejeshwa kwa zaidi ya shilingi milioni 87 kupitia miradi ya kuzuia rushwa, uchambuzi wa mifumo na ufuatiliaji wa matumizi ya rasilimali za umma kati ya Januari hadi Machi 2026 Na Musa Mtepa Taasisi ya Kuzuia…
16 May 2026, 12:12
Jamii Mkoa wa Mtwara imetakiwa kuwekeza zaidi katika malezi ya watoto kwa kuwajengea maadili mema na ushiriki wa wazazi wote, huku wadau wakisisitiza kuboresha vituo vya malezi na kuongeza uelewa wa jamii kuhusu ukuaji timilifu wa mtoto Na Musa Mtepa…
15 May 2026, 09:04
Madiwani wa Manispaa ya Mtwara Mikindani wameeleza kutoridhishwa na kasi ya utekelezaji wa mradi wa TACTICS, huku viongozi wakitaka usimamizi madhubuti ili mradi huo uweze kuwanufaisha wananchi Na Musa Mtepa Baraza la madiwani la Manispaa ya Mtwara Mikindani mkoani Mtwara…
1 May 2026, 15:39
TASA yazindua mradi Mtwara kuwajengea uwezo wanawake na vijana katika utunzaji wa mazingira na usawa wa kijinsia, ikitumia sanaa kuhamasisha jamii kushiriki kikamilifu na kuacha vitendo vinavyoharibu mazingira. Na Musa Mtepa Shirika lisilo la kiserikali la Tanzania Safaty Alliance (TASA),…
Who we are
JAMII FM is a Community Radio that was launched in September 2016 for the purpose of giving community members particularly from rural areas access to information and means of communication. The programmes are basically focused on issues that directly or indirectly reflect community livelihood including people with special needs.
Through Jamii FM Radio, educational and developmental information is disseminated and exchanged; important local issues are aired; a free market place of ideas and opinions is opened up and people are given the opportunity to express themselves. Broad participation by community members is always encouraged in Program production.
Vision
The VISION of Jamii FM is to see the community of Lindi and Mtwara Regions particularly from rural areas have access to information and increased capacity to play a meaningful role for their own development through media.
Mission
The MISSION is to enable local communities to use media as a tool for enhancing participatory communication in order to achieve sustainable rural development.LocationJAMII FM Radio Station is located at Naliendele area 9km from Mtwara Town along Mtwara-Newala road. The station is opposite to Naliendele Agriculture Research Institute.
Coverage:
Jamii Fm Radio owns its 60 metres transmission tower that enables to reach the huge population from both Mtwara and Lindi regions, from Mtwara Municipal up to Nanyamba, Tandahimba, Newala, Nachingwea, Lindi and some parts along the boarder with neighbouring country-Mozambique.