Jamii FM
Jamii FM
12 February 2026, 10:27
Mkurugenzi wa Bodi ya Korosho Tanzania, Frances Alfred, ametaka wakulima walipwe kulingana na uzito uliopokelewa na wahusika wa upungufu wawajibike baada ya wakulima kulalamikia tofauti ya uzito wa mazao kati ya Vyama vya Msingi vya Ushirika (AMCOS) na ghala kuu,…
5 February 2026, 16:58
Mabadiliko makubwa ya sheria ya madini yaliyofanyika mwaka 2017 yameleta mafanikio makubwa kwa Watanzania katika sekta ya madini, ambapo katika migodi mikubwa ya madini iliyopo nchini asilimia 97 ya wafanyakazi ni Watanzania na zaidi ya asilimia tisini ya uongozi na…
4 February 2026, 07:50
Mabadiliko ya sheria ya Madini, zaidi ya Asilimia 97 ya watanzania wajitokeza kufanya kazi kwenye sekta ya madini Na Gregory Milanzi Mabadiliko makubwa ya sheria ya madini yaliyofanyika mwaka 2017 yamewezesha watanzania wengi kufanya kazi katika sekta ya madini, ambapo…
4 February 2026, 06:50
Mahakama Kuu Kanda ya Mtwara imesema inaendelea kuimarisha uwezo wake ili kuhakikisha utoaji wa haki kwa wakati kama sehemu ya utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050. Kauli hiyo imetolewa wakati wa maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini yaliyofanyika…
31 January 2026, 15:11
Ongezeko la watu pamoja na kupanda kwa gharama za nishati mbadala kama gesi na umeme kumeongeza kwa kiasi kikubwa utegemezi wa mkaa. Na Gregory Millanzi Kwa miongo mingi, mkaa umekuwa chanzo kikuu cha nishati kwa kaya nyingi, hususani katika maeneo…
31 January 2026, 14:44
Athari za ukataji miti zinaonekana wazi kupitia ukame, mafuriko, na mabadiliko ya tabianchi yanayoathiri moja kwa moja maisha ya binadamu. Na Gregory Millanzi Ukataji miti umekuwa tatizo linalokua kwa kasi katika jamii nyingi, hasa maeneo ya vijijini. Hapo zamani, misitu…
29 January 2026, 18:30
Wazazi na walezi mkoani Mtwara wametakiwa kuwapeleka shule watoto wenye ulemavu katika kipindi hiki cha uandikishaji wa Elimu ya Awali na Msingi. Wito huo umetolewa na MERODI kupitia Jamii FM, ikisisitiza elimu jumuishi, ushirikiano wa jamii na msaada wa serikali…
27 January 2026, 18:11
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara linachunguza tukio la mtoto wa miaka 12 anayedaiwa kujaribu kumuua mtoto wa miaka 4 wilayani Nanyumbu. Wakati huo huo, polisi wamefanikiwa kukamata watuhumiwa wa nyara za serikali na dawa za kulevya katika oparesheni mbalimbali…
26 January 2026, 11:17
Jamii Mtwara imehimizwa kunyonyesha watoto maziwa ya mama pekee kwa miezi sita ya mwanzo, kuimarisha makuzi yao, huku wadau wakitathmini huduma za malezi na kupanga mipango kupitia PJT-MMMAM. Na Musa Mtepa Jamii mkoani Mtwara imetakiwa kuhakikisha watoto wananyonyeshwa maziwa ya…
26 January 2026, 10:12
Vijana wa Kata ya Chuno, Mtwara Mjini, wametakiwa kuungana katika vikundi ili kunufaika na tenda na mikopo ya serikali kwa maendeleo yao ya kiuchumi Na Musa Mtepa Vijana wametakiwa kuungana na kuunda vikundi vitakavyowawezesha kupata tenda na mikopo kutoka serikalini,…
Who we are
JAMII FM is a Community Radio that was launched in September 2016 for the purpose of giving community members particularly from rural areas access to information and means of communication. The programmes are basically focused on issues that directly or indirectly reflect community livelihood including people with special needs.
Through Jamii FM Radio, educational and developmental information is disseminated and exchanged; important local issues are aired; a free market place of ideas and opinions is opened up and people are given the opportunity to express themselves. Broad participation by community members is always encouraged in Program production.
Vision
The VISION of Jamii FM is to see the community of Lindi and Mtwara Regions particularly from rural areas have access to information and increased capacity to play a meaningful role for their own development through media.
Mission
The MISSION is to enable local communities to use media as a tool for enhancing participatory communication in order to achieve sustainable rural development.LocationJAMII FM Radio Station is located at Naliendele area 9km from Mtwara Town along Mtwara-Newala road. The station is opposite to Naliendele Agriculture Research Institute.
Coverage:
Jamii Fm Radio owns its 60 metres transmission tower that enables to reach the huge population from both Mtwara and Lindi regions, from Mtwara Municipal up to Nanyamba, Tandahimba, Newala, Nachingwea, Lindi and some parts along the boarder with neighbouring country-Mozambique.