Jamii FM
Jamii FM
21 January 2026, 12:29
Wazazi wa kijiji cha Nanguruwe wameaswa kuwalea watoto wao katika maadili mema ili kukabiliana na mimba kwa wanafunzi. Wito huo umetolewa na viongozi wa elimu, polisi na walimu kupitia kipindi cha Wazi cha Jamii FM Redio. Na Musa Mtepa Wazazi…
19 January 2026, 12:08
Wananchi wa kijiji cha Nanguruwe wameiomba Serikali na wadau wa maendeleo kusaidia ujenzi wa soko la kisasa la bidhaa na vyakula ili kuboresha huduma za kibiashara. Ujenzi huo unafanywa kwa nguvu za wananchi na unatarajiwa kugharimu shilingi milioni 70, huku…
9 January 2026, 09:27
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara ameitaka TANROADS kuongeza usimamizi kwa mkandarasi wa barabara ya Mnivata–Masasi baada ya mradi kusuasua. TANROADS imesema chanzo ni mkandarasi na hatua tayari zimechukuliwa kuharakisha ujenzi Na Musa Mtepa Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Kanali Patrick…
7 January 2026, 19:27
Wananchi wa Makome B wameiomba Serikali kupitia RUWASA kukamilisha mradi wa maji uliosimama ili kumaliza uhaba wa maji safi unaosababisha magonjwa na changamoto za kijamii. Na Musa Mtepa Wananchi wa kijiji cha Makome B kilichopo kata ya Mbawala,Halmashauri ya Mtwara…
5 January 2026, 18:10
Wanafunzi waliowahi kusoma Shule ya Sekondari Mtwara Ufundi wamechangia shilingi 525,000/= kwa ajili ya ujenzi wa Msikiti wa mtaa wa Shule ya Msingi Majengo, Manispaa ya Mtwara Na Musa Mtepa Wanafunzi waliowahi kusoma Shule ya Sekondari Mtwara Ufundi iliyopo Manispaa…
5 January 2026, 16:00
Jamii FM Redio imetangaza wasikilizaji na wachangiaji bora wa vipindi vyake kwa mwaka 2025. Washindi walichaguliwa na wasikilizaji kupitia SMS na kukabidhiwa tuzo katika hafla iliyofanyika katika studio za kituo hicho Na Musa Mtepa Jamii FM Redio imetangaza wasikilizaji na…
4 January 2026, 12:45
Wananchi wa Kilambo na maeneo ya mpakani na Msumbiji wanaiomba Serikali kurejesha kivuko cha MV Kilambo kilichosimama kufanya kazi, Serikali imesema matengenezo yanaendelea Na Musa Mtepa Wananchi na watumiaji wa kivuko cha Kilambo kinachounganisha Tanzania na nchi jirani ya Msumbiji…
3 January 2026, 18:18
Wakulima wa korosho Nanyamba wamelalamikia tofauti kubwa ya bei ukilinganisha na Tandahimba, hali inayowalazimisha kuhamishia mazao yao Tandahimba Na Musa Mtepa Wakulima wa zao la korosho katika Halmashauri ya Mji Nanyamba wamehoji tofauti ya bei ya korosho inayojitokeza sokoni kati…
24 December 2025, 12:50
Wananchi wametakiwa kuzingatia matumizi sahihi ya gesi ya kupikia majumbani ili kuepuka madhara ikiwemo milipuko ya moto Na Musa Mtepa Wananchi wameshauriwa kuzingatia matumizi sahihi ya gesi ya kupikia majumbani ili kuepuka madhara yanayoweza kujitokeza, ikiwemo milipuko ya moto inayosababishwa…
23 December 2025, 16:58
Ulemavu si jambo la hiari, na kwamba mtu yeyote anaweza kuwa mlemavu wakati wowote katika maisha yake. Na Msafiri Kipila Watu wenye ulemavu ni sehemu muhimu ya jamii na wana mchango mkubwa katika maendeleo ya kijamii na kiuchumi. Licha ya…
Who we are
JAMII FM is a Community Radio that was launched in September 2016 for the purpose of giving community members particularly from rural areas access to information and means of communication. The programmes are basically focused on issues that directly or indirectly reflect community livelihood including people with special needs.
Through Jamii FM Radio, educational and developmental information is disseminated and exchanged; important local issues are aired; a free market place of ideas and opinions is opened up and people are given the opportunity to express themselves. Broad participation by community members is always encouraged in Program production.
Vision
The VISION of Jamii FM is to see the community of Lindi and Mtwara Regions particularly from rural areas have access to information and increased capacity to play a meaningful role for their own development through media.
Mission
The MISSION is to enable local communities to use media as a tool for enhancing participatory communication in order to achieve sustainable rural development.LocationJAMII FM Radio Station is located at Naliendele area 9km from Mtwara Town along Mtwara-Newala road. The station is opposite to Naliendele Agriculture Research Institute.
Coverage:
Jamii Fm Radio owns its 60 metres transmission tower that enables to reach the huge population from both Mtwara and Lindi regions, from Mtwara Municipal up to Nanyamba, Tandahimba, Newala, Nachingwea, Lindi and some parts along the boarder with neighbouring country-Mozambique.