Chai FM

Watoto miaka 5-14 hatarini kupata kichocho Rungwe-Kipindi

25 January 2024, 11:47 am

Na Lennox Mwamakula – Rungwe

Jamii imeshauriwa kutoa ushirikiano pindi watoto wanapo takiwa kupatiwa chanjo ya mangojwa mbalimbali kwani itasaidia kuimarisha kinga kwa watoto

Kauli hiyo imetolewa na mtaalamu wa kinga ambaye pia ni afisa afya Ndugu Leonard Shaba kwenye kipindi cha amka na chai kinanacho rushwa na kituo cha Redio chaifm ambapo amewaomba wazazi na walezi wa watoto kuchangia chakula pindi  vidonge vya kukabiliana na mambukidhi ya kicho vitakapo anza kutolewa kwa watoto mashuleni.