Chai FM

Makala kuhusu zao la chai na mabadiliko ya tabianchi Rungwe

7 March 2024, 4:13 pm

Mtendaji mkuu wa mradi wa pamoja wa wakulima wa chai Rungwe na Busokelo (RBTC) akizungumza na mwandishi wa habari hayupo pichani( Picha na Rashid Mkwinda)

Zao la chai ni miongoni mwa mazao ya kimkakati nchini Tanzania, Redio Chai FM tumekuandalia makala inayoangazia madhira yatokanayo na mabadiliko ya tabianchi katika zao la chai