Recent posts
27 March 2026, 3:54 pm
Mvua chanzo vifo vya watoto 15 Rungwe
Uwepo wa mvua kumbwa zilizoambatana na upepo imesababisha vifo vya watu 20 huku idadi kubwa ya vifo ikiwa ni watoto. Na Sabina Martin Mvua kubwa zinazoendelea kunyesha katika wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya zimesababisha vifo vya watu 20 wengi wao…
27 March 2026, 2:52 pm
Bei ya chai Rungwe kushuka kwa kipindi cha mpito
Baada ya kiwanda cha Wakulima Tea Company kufungwa tangu mwezi wa tano mwaka 2025 sasa wakulima na mwekezaji mwenza wamekuja na mkakati wa kuanza uchakataji wa majani mabichi ya chai katika kiwanda hicho. Na Sabina Martin – RUNGWE, Mkutano mkuu…
1 March 2026, 3:50 pm
Wananchi Rungwe kutozwa faini laki tatu
Ni muhimu kila raia kushiriki zoezi la usafi ili kukabiliana magongonjwa RUNGWE-MBEYA Na Lennox mwamakula Katibu tawala wa wilaya ya Rungwe Bwana Ally said kiumwa amewataka wananchi kujenga utaratibu wa kufanya usafi kwenye makazi yao kila siku ili kuepukana na…
19 February 2026, 11:15 am
Baraza lawafukuza kazi watumishi Rungwe
Baadhi ya madiwani wakiwa kwenye kikao cha baraza halmashauri ya wilaya ya Rungwe [picha na Lennox Mwamakula] watumishi wa uma wanatakiwa kufuata kanuni na sheria za kazi kama zinavyoelezwa ili kuleta matokeo chanya kwa wanao watumikia Rungwe-Mbeya Na Lennox Mwamakula…
24 November 2025, 2:15 pm
Usugu wa vimelea dhidi ya dawa chanzo cha vifo mil. 1 duniani
Matumizi holela ya dawa yanatajwa kuwa moja kati ya sababu zinaochangia usugu wa vimelea dhidi ya dawa ambayo husababisha vifo vya watu millioni 1.1 kila mwaka duniani. Na Sabina Martin Jamii nchini imetakiwa kutumia dawa kwa kuzingatia maelekezo yadaktari ili…
21 October 2025, 1:55 pm
Amani chanzo cha umoja na mshikamano wa kitaifa
Uwepo wa amani nchini Tanzania imekua chanzo cha kutokuwepo kwa matabaka ya udini, Ukabila walionacho na wasionacho, badala yake waTanzania wote wamekua na maisha ya kuchangamana bila kubaguana kwa hali yoyote. Karibu kusikiliza mahojiano ya moja kwa moja
16 October 2025, 3:07 pm
Rungwe iko salama kwa uchaguzi
ikiwa ni takwa la kikatiba wananchi wametakiwa kwenda kuwachagua viongozi wanao wataka siku ya uchaguzi mkuu RUNGWE-MBEYA Na Lennox Mwamakula Wito umetolewa kwa wananchi wilayani Rungwe mkoani Mbeya kujitokeza kupiga kura ifikapo octoba 29.2025 kwa wote wenye sifa za kupiga…
8 October 2025, 9:59 pm
Vijana kukomesha vitendo vya ukatili Mbeya
jamii imetakiwa kujenga utaratibu wa kutoa taarifa kwenye vyombo ya kisheria kuhusu vitendo vya utatili MBEYA Na Lennox Mwamakula Vijana nchini wametakiwa kuwa mstari wa mbele katika suala la kupinga vitendo vya ukatili kwani wao ndiyo nguvu kazi ya Taifa…
23 September 2025, 3:07 pm
THBUB yasisitiza amani kuelekea uchaguzi mkuu
kila raia wa Tanzania ana haki ya kupiga kura ya kuchagua kiongozi anaye mtaka kwaajili ya maendeleo RUNGWE-MBEYA Na Lennox Mwamakula Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora nchini imewamba wananchi kushiriki kikamilifu kwenye mikutano ya kampeni inayofanywa na…
10 September 2025, 4:16 pm
Zaidi ya watu laki saba hujiua kila mwaka duniani
Siku ya kuzuia kujiua duniani inaadhimishwa Kila ifikapo septemba 10. Kila Mwaka ikiangazia Tatizo la afya kwa umma licha ya kuzuilika husababisha vifo vya zaidi ya watu lakini saba kwa mwaka. Na Sabina Martin Wakati dunia ikiadhimisha siku ya kimataifa…