Chai FM

Recent posts

1 February 2024, 2:47 pm

Wananchi wametakiwa kutoa ushirikiano kwenye vyombo vya maamuzi Rungwe

katika kuadhimisha siku ya sheria jamii pamoja na wadau mbalimbali wameaswa kuwa na utaratibu wa kutoa ushirikiano kwa vyombo vya maamuzi kama mahakama. Aakimu mkazi mfawidhi wa mahakama ya wilaya akizungumza na wadau washeria[picha na Lennox Mwamakula] RUNGWE-MBEYA Na Lennox…

31 January 2024, 1:35 pm

Wananchi watakiwa kuzingatia lishe bora kwa watoto

Jamii imeshauriwa kuzingatia lishe bora kwa watoto ili kujenga mwili pamoja na kuimarisha afya ya akili kwa ujumla. Na Sabina Martin Wanafunzi waliopatiwa elimu ya lishe bora halmashauri ya wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya wametakiwa kuwa mabalozi wa lishe katika…

25 January 2024, 11:47 am

Watoto miaka 5-14 hatarini kupata kichocho Rungwe-Kipindi

Na Lennox Mwamakula – Rungwe Jamii imeshauriwa kutoa ushirikiano pindi watoto wanapo takiwa kupatiwa chanjo ya mangojwa mbalimbali kwani itasaidia kuimarisha kinga kwa watoto Kauli hiyo imetolewa na mtaalamu wa kinga ambaye pia ni afisa afya Ndugu Leonard Shaba kwenye…

19 January 2024, 11:31 am

Billioni 26.9 kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo 2024/2025 Busokelo

Na mwandishi wetu Halmashauri ya Wilaya ya Busokelo imepanga kutumia shilingi bilioni 26.6 kwa mwaka fedha 2024/2025. Hayo yameleezwa katika kikao cha Baraza la madiwani kilichofanyika katika ukumbi wa Halmashauri tarehe 18/01/2024 kwaajili ya kujadili mapendekezo ya Mpango na Bajeti …

19 January 2024, 10:47 am

Millioni 201 zajenga kituo cha afya Kinyala

Na Mwandishi wetu Katika kuhakikisha sera ya afya ya kuwa na kituo cha afya kila kata halmashauri ya wilaya ya Rungwe imetekeleza kwa vitendo sera hiyo wa kujenga vituo vya afya katika kata mbalimbali ndani ya halmashauri yake. Kwa mujibu…

19 January 2024, 10:18 am

Chakula shuleni chatajwa kuwa chanzo uelewa wa wanafunzi

Ushirikiano mzuri baina ya wazazi na walimu umetajwa kuwa chachu ya ongezeko la ufaulu kwa wanafunzi wa shule ya msingi. Na Sabina Martin – RUNGWE, Wazazi na walezi wilayani Rungwe wameshauriwa kushirikiana zaidi na walimu ili kuboresha maendeleo ya watoto…

17 January 2024, 11:07 am

Wachungaji 17 wabarikiwa KKKT dayosisi ya Konde

Na mwandishi wetu Askofu Geophrey Mwakihaba wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania(KKKT)Dayosisi ya Konde amewabariki Wataradhia kumi na saba kuwa Wachungaji baada ya kuhitimu masomo ya Theolojia hivyo kuendelea kuongeza Watumishi ndani ya Kanisa ibada iliyofanyika usharika wa Tukuyu…

13 January 2024, 5:16 pm

Miaka 60 ya mapinduzi ya zanzibar yazinufaisha shule za sekondari Rungwe

ikiwa dunia ikikabiliwa na mabadiliko ya tabianchi jamii imetakiwa kuwa msitari wa mbele kuhakikisha miti inapandwa kwa wingi ili mvua imeze kupatikana na uzalishaji wa mazao uongezeke. RUNGWE-MBEYA Na Lennox Mmwamakula Ikiwa serikali ya mapindunduzi ya Zanzibar  inadhimisha miaka 60…

7 January 2024, 12:32 pm

Wakazi wa Ilenge wilayani Rungwe wafurahia kupata zahanati

Baada ya kufuata huduma ya matibabu umbali mrefu wananchi wa kijiji cha Ilenge wameipongeza serikali kwa kuwajengea zahanati kwani wamesema imewapunguzia changamoto ya kukosa matibabu. RUNGWE-MBEYA Na Lennox Mwamakula Mkuu wa wilaya Rungwe Jaffar Haniu amepongeza juhudi zilizofanya na wakazi…

Kuhusu Chai FM

Chai FM radio ni radio inayomilikiwa na Umoja wa wakulima wa Chai Rungwe, Ilianzishwa kwa lengo la kuhakikisha mkulima wa Chai wilaya ya Rungwe anapata taarifa sahihi ambazo zitasaidia kuendeleza zao la Chai pamoja na shughuli zake za kiuchumi, Elimu na Kijamii.

Uwepo wa radio Chai FM umesaidia mkulima wa zao la Chai wilaya ya Rungwe kupata taarifa kwa wakati zinazohusu zao la chai na mwenendo wake pamoja na elimu juu ya kilimo biashara kwa zao la chai na mazao mengine pamoja na ufugaji.

Hii ni kutokana na uguu wa kufikisha taarifa ya masuala ya kilimo kwa wakulima wa chai jiografia ya wilaya ikiwa ni kikwazo kwa wakulima kupata taarifa mbalimbali za ndani na nje ya wilaya pamoja na mpango wa kilimo endelevu.

Dira

Kuona jamii ya wakulima na wafugaji wa wilaya ya Rungwe wanakuwa na maisha bora

Dhamira

Kushirikiana na wadau mbalimbali wa maendeleo wa ndani na nje ya Wilaya ya Rungwe kuelimisha na kutoa taarifa za kilimo, mifugo, biashara,viwanda na habari za kijamii kupitia vipindi vya redio.

Chai Fm Radio inasikika maeneo tofauti kama ifuatavyo

Mkoa wa Mbeya – Wilaya za Rungwe, Busokelo, Kyela, na Mbeya Vijijini kwa baadhi ya maeneo

Mkoa wa Njombe – Wilaya za Makete, Ludewa

Mkoa wa Songwe – Wilaya za Ileje na Songwe kwa baadhi ya maeneo

Mkoa wa Ruvuma – Wilaya za Mbinga na Nyasa.

Lakini pia chai Fm inapatikana ukiwa popote duniani kupitia radiotadio.co.tz/chaifm/