Recent posts
14 March 2024, 8:08 am
Chakula shuleni chachu ya ufaulu Rungwe
Katibu tawala wa halmashauri ya wilaya ya Rungwe Ally Kiumwa akizungumza na wajumbe kwenye kikao cha Tathimini juu ya lishe [picha na Lennox mwamakula] Imeelezwa kuwa asilimia 93.7 ya wanafunzi wanaofanya vizuri katika masomo yao ni wale wanaokula chakula cha…
11 March 2024, 2:07 pm
Diwani avunja kamati ya shule
Baada ya wazazi na walezi kuonesha kutokuwa na imani na kamati ya shule imemlazimu diwani kuingilia kati suala hilo. Na Cleef Mlelwa – Wanging’ombe Diwani wa kata ya Kijombe Seylvester Kigola ameagiza kuvunjwa kwa kamati ya shule ya msingi Ikwavila…
8 March 2024, 4:17 pm
Wanawake wahimizwa kushiriki ngazi za uongozi
Ili kuhakikisha uchumi wa familia unaimarika, wanawake wametakiwa kutambua nafasi zao kwenye jamii. Serikal imetakiwa kuhakikisha inaendelea kuwakwamua wanawake kiuchumi na kijamii ili kuweza kufikia maendeleo ya jamii na taifa kwa ujumla. Katibu tawala wa wilaya ya Rungwe Ally Kiumwa…
8 March 2024, 11:24 am
Zaidi ya milioni 3 kukarabati shule Rungwe
Shule ya msingi Katumba one ni shule iliyojengwa miaka 50 iliyopita na kutumika bila kufanyiwa ukarabati wowote, hatimaye sasa inakwenda kukarabatiwa kwa ufadhili wa mbunge. Na Bahati Obel Mbunge wa jimbo la Rungwe Anton Mwantona amekabidhi msaada wa bati 108…
8 March 2024, 8:28 am
Elimu ya malezi mwarobaini wa vitendo vya ukatili Makambako
Ili kukabiliana na vitendo vya ukatili katika jamii imeelezwa kwamba elimu ya malezi na makuzi kwa wazazi, walezi na watoto ni muhimu ikaendelea kutolewa Na Cleef Mlelwa – Makambako Wazazi na walezi katika halmashauri ya mji wa Makambako wametakiwa kuhakikisha…
7 March 2024, 4:13 pm
Makala kuhusu zao la chai na mabadiliko ya tabianchi Rungwe
Zao la chai ni miongoni mwa mazao ya kimkakati nchini Tanzania, Redio Chai FM tumekuandalia makala inayoangazia madhira yatokanayo na mabadiliko ya tabianchi katika zao la chai
7 March 2024, 2:43 pm
Ushirikishwaji wa Wananchi wazaa matunda Rungwe
Na Mwandishi wetu Elimu ya utambuzi inayotolewa na serikali kwa wananchi imeendelea kuboresha miundombinu mbalimbali kama vile ya elimu. Wakazi wa kata ya Isongole wilayani Rungwe mkoani Mbeya wamejenga bweni la wavulana katika shule ya sekondari Isongole ikiwa ni hatua…
28 February 2024, 6:46 pm
Jumla ya watoto 61125 kupata chanjo Rungwe
Ili kuhakikisha mtoto analindwa na magonjwa yasiyopewa kipaombele, jamii inatakiwa kuwa mstari wa mbele kujitokeza kuwapatia chanjo. Na lennox Mwamakula Mkuu wa wilaya ya Rungwe Jaffar Hanniu ameiomba jamii kutoa ushirikiano kwa walimu wanaowahudumia watoto wenye mahitaji maalum ili watoto…
14 February 2024, 5:38 pm
Bei elekezi kwa zao la parachichi Busokelo
Mkurugenzi wa halmashauri ya Busokelo Loema peter akisungumza kwenye kikao cha wadau wa parachichi Wadau na wakulima wameishukuru serikali kwa kutuoa bei elekezi ya parachichi kwani itamsaidia mwananchi wa kawaida. Na Mwandishi Wetu Mkurugenzi Mtendaji wa Hamshauri ya Wilaya ya…
8 February 2024, 3:31 pm
Madiwani waonywa Rungwe
Wanasiasa wametakiwa kuwa msitari wa mbele kuwahamasisha wananchi katika shughuli za kimaendeleo ili kuimarisha uchumi wa mmojammoja na Taifa kwa ujumla. RUNGWE-MBEYA Na Lennox MwamakulaMkuu wa halmashauri ya wilaya ya Rungwe Jaffar Hanniu amewataka wafanyabiashara kutopanga bidhaa zao kando ya…