1 March 2026, 3:50 pm

Wananchi Rungwe kutozwa faini laki tatu

Ni muhimu kila raia kushiriki zoezi la usafi ili kukabiliana magongonjwa RUNGWE-MBEYA Na Lennox mwamakula Katibu tawala wa wilaya ya Rungwe Bwana Ally said kiumwa amewataka wananchi kujenga utaratibu wa kufanya usafi kwenye makazi yao kila siku ili kuepukana na…

On air
Play internet radio

Recent posts

27 October 2026, 9:17 pm

Serikali yawafuta machozi wakazi wa kinyala Rungwe

kamati ya siasa ya chama cha mapinduzi ikikagua ujenzi wa kituo cha afya kata ya kinyala [picha na Noah Kibona] ilikukabiliana na changamoto ya kufuata huduma ya afya umabli mrefu wakazi wa kata ya kinyala wameishukuru serkali kwa kuwajengea kituo…

22 October 2026, 8:49 pm

Bima ya afya chachu ya kipato Rungwe

Mkuu wa wilaya ya Rungwe Jaffar Hanniu alimkabidhi kadi ya bima ya afya mmoja ya wananchi [picha na Noah Kibona] Wakazi wa Rungwe wananufaika na Bima ya afya kwa kuwapunguzia gharama za matibabu RUNGWE MBEYA Na Lennox Mwamakula Vingozi wa…

2 October 2026, 10:27 am

Fahamu Rushwa inavyo fifisha haki katika mashauri ya jinai

Imeelezwa kuwa shahidi anaweza kufanya makosa ambayo yanaweza kuathiri keshi moja kwa moja Karibu kusikiliza kipindi kilichoruka moja kwa moja studio kikihusisha wataalamu kutoka tume ya haki jinai wakitoa elimu kwa umma kuhusu rushwa inavyopindisha haki katika mashauri ya jinai.…

1 October 2026, 1:17 pm

Mbwa wageuka tishio kata ya Lyamkena Makambako

Watoto wengi walioripotiwa kudhurika na mbwa mtaa wa Lyamkena Makambako Tanzania ni kutokana na uzembe wa wamiliki wa mbwa hao. Na Cleef Mlelwa Hayo yamebainishwa na baadhi ya wananchi wa mtaa wa Ilangamoto  uliopo kata ya Lyamkena  halmashauri ya mji…

4 September 2026, 6:25 pm

Bodaboda kuchukuliwa hatua Rungwe

Mrakibu wa polisi wilaya ya Rungwe Felix Kakolanya akiongea na kituo hiki ofisini kwake[ Picha na Aidan Mwakyoma] waendesha vyombo vya moto nchini wametakiwa kufuata sheria ili kupunguza ajali RUNGWE Na Aidan Mwakyonya Mrakibu wa jeshi la polisi Wilayani Rungwe …

1 May 2026, 9:50 am

Madiwani msiwe chanzo cha migogoro Rungwe

RUNGWE-MBEYA Na Lennox Mwamakula Madiwani wilayani Rungwe wameombwa kupitia taarifa ya mdhibiti na mkaguzi wa hesabu za serikali ili kuweza kurekebisha makosa na changamoto zilizo  bainishwa kwenye taarifa hiyo kwa lengo ya kuendelea kupata hati safi. Kauli hiyo imetolewa na…

27 March 2026, 3:54 pm

Mvua chanzo vifo vya watoto 15 Rungwe

Uwepo wa mvua kumbwa zilizoambatana na upepo imesababisha vifo vya watu 20 huku idadi kubwa ya vifo ikiwa ni watoto. Na Sabina Martin Mvua kubwa zinazoendelea kunyesha katika wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya zimesababisha vifo vya watu 20 wengi wao…

27 March 2026, 2:52 pm

Bei ya chai Rungwe kushuka kwa kipindi cha mpito

Baada ya kiwanda cha Wakulima Tea Company kufungwa tangu mwezi wa tano mwaka 2025 sasa wakulima na mwekezaji mwenza wamekuja na mkakati wa kuanza uchakataji wa majani mabichi ya chai katika kiwanda hicho. Na Sabina Martin – RUNGWE, Mkutano mkuu…

1 March 2026, 3:50 pm

Wananchi Rungwe kutozwa faini laki tatu

Ni muhimu kila raia kushiriki zoezi la usafi ili kukabiliana magongonjwa RUNGWE-MBEYA Na Lennox mwamakula Katibu tawala wa wilaya ya Rungwe Bwana Ally said kiumwa amewataka wananchi kujenga utaratibu wa kufanya usafi kwenye makazi yao kila siku ili kuepukana na…

19 February 2026, 11:15 am

Baraza lawafukuza kazi watumishi Rungwe

Baadhi ya madiwani wakiwa kwenye kikao cha baraza halmashauri ya wilaya ya Rungwe [picha na Lennox Mwamakula] watumishi wa uma wanatakiwa kufuata kanuni na sheria za kazi kama zinavyoelezwa ili kuleta matokeo chanya kwa wanao watumikia Rungwe-Mbeya Na Lennox Mwamakula…

Kuhusu Chai FM

Chai FM radio ni radio inayomilikiwa na Umoja wa wakulima wa Chai Rungwe, Ilianzishwa kwa lengo la kuhakikisha mkulima wa Chai wilaya ya Rungwe anapata taarifa sahihi ambazo zitasaidia kuendeleza zao la Chai pamoja na shughuli zake za kiuchumi, Elimu na Kijamii.

Uwepo wa radio Chai FM umesaidia mkulima wa zao la Chai wilaya ya Rungwe kupata taarifa kwa wakati zinazohusu zao la chai na mwenendo wake pamoja na elimu juu ya kilimo biashara kwa zao la chai na mazao mengine pamoja na ufugaji.

Hii ni kutokana na uguu wa kufikisha taarifa ya masuala ya kilimo kwa wakulima wa chai jiografia ya wilaya ikiwa ni kikwazo kwa wakulima kupata taarifa mbalimbali za ndani na nje ya wilaya pamoja na mpango wa kilimo endelevu.

Dira

Kuona jamii ya wakulima na wafugaji wa wilaya ya Rungwe wanakuwa na maisha bora

Dhamira

Kushirikiana na wadau mbalimbali wa maendeleo wa ndani na nje ya Wilaya ya Rungwe kuelimisha na kutoa taarifa za kilimo, mifugo, biashara,viwanda na habari za kijamii kupitia vipindi vya redio.

Chai Fm Radio inasikika maeneo tofauti kama ifuatavyo

Mkoa wa Mbeya – Wilaya za Rungwe, Busokelo, Kyela, na Mbeya Vijijini kwa baadhi ya maeneo

Mkoa wa Njombe – Wilaya za Makete, Ludewa

Mkoa wa Songwe – Wilaya za Ileje na Songwe kwa baadhi ya maeneo

Mkoa wa Ruvuma – Wilaya za Mbinga na Nyasa.

Lakini pia chai Fm inapatikana ukiwa popote duniani kupitia radiotadio.co.tz/chaifm/